Kwanini wamarekani weusi hulalamika wanapouawa na wamarekani weupe, Ikiwa wao wenyewe pia huuana?

Hii ni sawa na kidume kubondwa na mbebez au mbebez kubondwa na kidume....Hapo lazima usikie maandamano ya haki yameanza.
Ila kidume kwa kidume, au mbebez kwa mbebez ni timbwili hadi nyasi zing'oke
 
Wamarekani weusi naweza kuwafananisha na WAFUASI wa dini X nchini tanzania,kazi yao kulialia na kuonyesha nyuso za huruma hata mahara pasipohitaji huruma.
 
Ingawa sio mfasaha wa mazungumzo ya kitaalamu( mchambuzi) kama haya,nimeona nichangie angalau hata nukta 1 au mbili ili kupanua mawanda ya hoja iliopo.
Kimsingi Malalamiko juu ya vifo vyovyote vile duniani hujengwa juu na sababu /mazingira ya kifo/vifo vyenyewe kama sababu /mazingira yenyewe yana asili ya kibaguzi au laa.
Kihistoria,Marekani imekuwa ikisumbuliwa na tatizo hilo la kijamii kwa muda mrefu,sijabahatika kufika wala kuishi ila nimekuwa nikisikia taarifa hizo kwenye vyombo vya habari na kusoma kwenye hadidu za rejea mbalimbali.
Watu kama akina Mart Luther King,Malcolm x,na wengineo kama akina Due boyz wamekuwa mstari wa mbele kutetea haki na kupinga vitendo vya kibaguzi.
Ilifika mahali wamarekani weusi waliuawa kama kuku,na kufanywa kama midoli ya weupe achilia mbali kunyimwa na kukandamizwa kwa haki zao za kuishi,kusafiri,kuajiriwa pamoja na wazungu.

Ndipo tunarudi kwenye hoja yetu ya msingi nini maana ya ubaguzi? Kwa tafsiri rahisi ni kuzuia/kinyima haki za kimsingi kwa tofauti za kiitikadi,dini,ranging,kabila,na mengine yanayofanana.

Kukatisha uhai wa MTU kwa sababu zinazo tokana na tofauti za mambo hayo hapo juu ndipo tunasema kifo hicho ni cha kibaguzi.

Mfano,mauji ya Halaiki ya Rwanda mwaka 1994 tunasema ni ya kibaguzi kwa sababu vyanzo vya mauji Yale ulikuwa ubaguzi baina ya Watusi na wahutu na suluhisho lake ilikuwa kuanzisha za usuluhishi za kijadi hali kadhalika za kimataifa.
Afrika kusini hali kadhalika,mauji ya Halaiki alimaarufu kama SOWETO KILLINGS,Nimatokeo ya Sera za kibaguzi za Mkaburu na Suluhisho iliundwa mahakama ya usuluhishi chini ya Askofu Deathmon Tutu.
Hivyo,Mauji ya hivi karibuni na mengi yanayo tokea marekani baina ya wazungu na waafrika mazingira yake ni ya kibaguzi na ndio maana polisi hao hao hawafanyi hivyo kwa ndugu za wazungu.
Weusi kuuana wao kwa wao hatuwezi sema ni mauji ya kibaguzi kwa kuwa wote wanafanana ,kirangi na asili yao lakini pia vifo hivyo havi tokani na hisia za kibaguzi na hapo tunaangalia tu sababu za kifo/vifo na kusema AAA Fulani amemua Fulani kwa sababu wamezulumiana na nk.
UBAGUZI UMEOTA MIZIZI KWA MUDA MREFU AMERIKA INGAWA KWA KIASI FULANI ULIONEKANA KUPUNGUA KWA SASA UMEIBUKA KWA KIASI KIKUBWA BARA LA ULAYA NA HATA AMERIKA KWA SABABU YA HALI NGUMU ZA KIUCHUMI,UKOSEFU WA AJIRA,UGAIDI NA NK.NA KUTHIBITISHA HILO NI KUJITOA KWA UINGEREZA KUTOKA EU.
 
Ni kweli kabisa.

Weusi kwa weusi wanauana mno na hakunaga outrage yoyote ile.

Maisha ya weusi yana thamani tu pale inapotokea mweusi kauwawa na polisi wa kizungu.

Halafu kuna polisi wengi tu wazungu ambao huokoa maisha ya weusi.

Lakini hao hutawasikia hata siku moja. Wanaishia kuwa unsung heroes.

Utaowasikia ni wale tu ambao kwa sababu moja ama nyingine hutokea kumuua mtu na mtu huyo akawa mweusi.

Ni unafiki unafiki unafiki all the way around and there are no two ways about it.
 
Hata tembo wakipigana na moja ikafa hakuna kesi ila ww ambaye sio tembo ukipambana nayo nakuiua utaona ya operation tokomeza
 
Nadhani sina la kukupinga kwa unayo yasema. Nimaanishacho ni kuwa :- waache unafiki.

Unajua, watu weusi(Marekani) kujifanya kuthamini maisha ya mtu mweusi mwingine pale anapo uawa na mtu mweupe ni unafiki wa hali ya juu. Ikiwa wao kwa wao huuana kwa wingi mno.

Kwa nini hawathamini maisha yao, hata wawe wanauana kwa wingi, achilia mbali suala la kuuawa na law enforcers.

Waanze kwa kupaza sauti mauaji ya wao kwa wao nami ndipo nita waunga mkono wanapo paza sauti za mauaji yatokanayo na law enforcers.
Tulia mkuu ,hebu wacha papara kwanza,
Swali rahisi kwako:- kwa nini huwa mnabweka kama mbwa wenye vichaa pale ambapo mwarabu anapoua mzungu ilihali wazungu hao kila siku wanauana wao kwa wao...!!???
Aidha ww na wenzio uache unafiki ama utumie vizuri kichwa chako.
 
Umesahau kwamba hao polisi kazi yao si kuua mtu, wanatakiwa kuwa-protect, haijalishi kama wee ni mweusi au mweupe. Kama polisi anashindwa kuku protect what should you do? unachukua matters in your own hands.
Mahaba niue mkuu ,si unajua mapenzi hupofusha
 
Wakati mwingine huwa siwaelewi binadamu, eti kwakuwa weusi wanauana wao kwa wao katika mambo yao, mantiki inatwambia jamii ikiwamo polisi wajitazame upya ili kukomesha mauaji hayo badala yake wapuuzi wanajenga hoja ya kuhalalisha mauaji ya wasio na hatia, kwakuwa weusi wanauana solution waueni wote
Kuna watu na mijitu,sasa hili ni jitu mkuu wala sio mtu.
Wakati wenzake wanatumia cerebral cortices kufikiri ,yy analazimisha kutumia medulla oblongata na pons kufanya reasoning ,matokeo ndio haya.
Halafu hawa ndio wanaotufanyaq tutukanwe na wakina trump,maana akisoma post kama ya mtoa mada,ahitimishe nn tena..!!??
 
tunatakiwa kulaani ubaguzi wa rangi au dini kwa nguvu zote kwani hukumu zinazowafika wahanga waubaguzi huo siyo halali yao kwa namna yoyote
 
tunatakiwa kulaani ubaguzi wa rangi au dini kwa nguvu zote kwani hukumu zinazowafika wahanga waubaguzi huo siyo halali yao kwa namna yoyote

Kwa nini tulaani ubaguzi wa rangi na wa kidini tu?

Ubaguzi dhidi ya mashoga je? Ubaguzi wa kijinsia je? Ubaguzi wa kikabila je?

Kwa nini tusipinge ubaguzi wa aina zote na tupinge wa rangi na wa kidini tu?
 
Wa salaam wanajamvi.

Swali langu ni hili: Kwanini wamarekani weusi hulalamika wanapo kojolewa na wamarekani weupe, Ikiwa wao wenyewe hunyeana?

Hivi punde kumetokea mauaji ya kijana mweusi huko marekani yaliyofanywa na afisa wa polisi (ambaye ni mzungu) . Na kila mtu analijua hilo. Ila cha kushangaza zaidi ni pale tunaona watu wengi weusi kutoka pande mbalimbali za ulimwengu wakilaani tukio hilo.

Mbona haya manung'uniko hayashiki hatamu pale wamarekani weusi wanapo uana wao kwa wao.?

Hivi mnajua kuwa vifo vinavyotokana na mauaji ya watu weusi(wenyewe kwa wenyewe kuchomana "Visu" & "Risasi") ni vingi kuliko vile vinavyotokana na mauaji na watu weupe(wazungu kuua watu weusiy)?

Kwa nini kifo kinacho sababishwa na mzungu kionekane kina mzizi wa "Ubaguzi wa Rangi".?

Ninawaomba wamarekani" weusi" wapunguze kuendekenda ubaguzi wa rangi. Waamini kuwa kufa kwa mmarekani mweusi hakusababishwi na ubaguzi wa watu "weupe" bali ni mitazamo yao isiyo sahihi, pia wazingatie maisha ya watu weusi yaliyoangamia kutokana na watu weusi.

Kama kweli wanamaanisha wanaposema #BlackLivesMatter, basi waniksikie nisemavyo, huenda wakanielewa kabla hakuja kuchwa.

YMCMB Headquarters.
Sasa wewe si lil wayne upo huko, unatuulizaje sisi Tanzania
 
Kuna watu na mijitu,sasa hili ni jitu mkuu wala sio mtu.
Wakati wenzake wanatumia cerebral cortices kufikiri ,yy analazimisha kutumia medulla oblongata na pons kufanya reasoning ,matokeo ndio haya.
Halafu hawa ndio wanaotufanyaq tutukanwe na wakina trump,maana akisoma post kama ya mtoa mada,ahitimishe nn tena..!!??
punguza mihemko, mtoa mada anahoji kwa nini blacks wanauana sana wao kwa wao na wala hawana care kwa human life ikija kwa black-black situation ila akiuawa na mzungu ndio wanajifanya ku care kuhusu life lao?
mada nzuri sana hii
 
punguza mihemko, mtoa mada anahoji kwa nini blacks wanauana sana wao kwa wao na wala hawana care kwa human life ikija kwa black-black situation ila akiuawa na mzungu ndio wanajifanya ku care kuhusu life lao?
mada nzuri sana hii
Nami nauliza hv:- kwa nini wazungu wanauana wenyewe kwa wenyewe ,tena wengi tu lakini hakuna anayebweka ila ikitokea wao kuawa na waarabu huwa mnabweka mpaka mikia inawasimama, maana juzi tu mlibandika bendera ya ufaransa kwenye fb dp zenu, au mmeashau ...!!??
Hebu jibu hilo halafu tuendelee
 
Nami nauliza hv:- kwa nini wazungu wanauana wenyewe kwa wenyewe ,tena wengi tu lakini hakuna anayebweka ila ikitokea wao kuawa na waarabu huwa mnabweka mpaka mikia inawasimama, maana juzi tu mlibandika bendera ya ufaransa kwenye fb dp zenu, au mmeashau ...!!??
Hebu jibu hilo halafu tuendelee

Hivi huko Ufaransa waliokufa ni wazungu tu?
 
Nami nauliza hv:- kwa nini wazungu wanauana wenyewe kwa wenyewe ,tena wengi tu lakini hakuna anayebweka ila ikitokea wao kuawa na waarabu huwa mnabweka mpaka mikia inawasimama, maana juzi tu mlibandika bendera ya ufaransa kwenye fb dp zenu, au mmeashau ...!!??
Hebu jibu hilo halafu tuendelee
unamzungumzia nani sasa? hizo ishu ni wazungu wana value maisha yao, wanatumia media zao kutangaza hilo tuki na kuilaani hadi wana influence na waafrika kuomboleza kwa nguvu wazungu wawili lakini sio waafrika 200
sasa watu weusi na hao waarabu kama hawajithamini wenyewe ndio mtoa mada kahoji hapa
 
Hata beki tatu wakiteswa huko uarabuni watu huja na uzi hapa jf wa kulalamika. Kuwa beki tatu wanateswa ukiona jinsia yako inateswa unayo haki ya kumtetea.
 
Back
Top Bottom