post yako imenistua ikabidi kwanza nipite Youtube kujiridhisha.
Sijaona ulicho Kiona..
Yaan ata kama hapa Tz nzima wangekua rapper hao watatu tu ulio wataja huwez mweka fid q namba Tatu jamaa angu
fid kawapita mbali Sana kwa Kila kitu na hasa uandishi, hao labda Kwenye free style
M bado nalia na striker kuna cross zinapigwa zinapita patupu final third hamna mtu, goal nyepesi tu za tap in zinakua missed hivhiv
Tangu game na Aston villa tunaupiga mpira mkubwa sana lakin lack of goal inafanya tuonekane hatujafanya kitu, Arteta lazma afanye jambo
Ni shida sana. kuna mmoja nilikua naye yeye hawakua marafiki bali ni ndugu zake kabisa.
wamezaliwa sita wote wakike yeye wapili kuzaliwa, dada yake na mdogo wake anaye mfuata ni masister duu trend na fashion haziwapiti. wanawaza mambo makubwa makubwa kufuatilia ma star na kwenda club,
huyu...
Kuna mmoja anakwambia Guimaraes n bora kuliko Partey nikaona kwrli unazi umezid, labda kumzid fitness vile partey n majeruh sana lakin akiwa fit mbugimbugi Partey ana hatarii
Namba gani ndo majukumu hayo mzee, ukishasema namba tisa majukumu yake yana julikana, havertz ni versatile player unaweza ukamtumia mpaka false nine nafasi ambayo siioni guimaraes hakiimudu, Guimaraes ndio ana kipiga kuliko havertz lakin katika nafasi gani!? box to box teyar tunae Rice na Partey...
Hoja yako naona kama umeificha, ni kweli hatujawai kuuza wachezaji kwa gharama kubwa so what?
usije ukawaza kwamba ndo haatujawai kuuza mchezaji wa profile kubwa, maana naiona hoja yako kama imejificha hapo kwamba mchezaj mkubwa ndo pesa kubwa. Wakati flani hizi deals zina mambo mengi haziendan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.