Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ivi akuna mtu yeyote mwenye means hii game nikaiangalia online, atleast kipindi cha pili,?
 
Ivi akuna mtu yeyote mwenye means hii game nikaiangalia online, atleast kipindi cha pili,?
 
Tiba ni kumuwaisha kiwior na kumtoa Zinny, kila ikipigwa pasi kwa salah lazima imkute au itoke nje kwa kushindwa mwenyewe kuicontrol ila Zinny hana uwezo wowote wa kumzuia Salah,iwe hewani au chini.
Tukichelewa Sub iyo tumeumia
 
Striker n tatizo halisi tulilo nalo tunapaswa kulifanyia kaz january
 
upande wa Salah inabidi aweanakabwa na watu wawili, Kama wanavyofanyiwa saka na martinel

Zinchenko ndio weak point yetu at the same time ndio strong link yetu
Upande huo ndio unaanzisha sana mashambulizi
 
Liver wanajua madhaifu yetu yapo kwa zinchenko, Klop anatumia wachezaji wawili ule upande.

Hii game tuna uwezo wa kushinda
 
Back
Top Bottom