..kingine anakosa strengthKai kuna vitu anakosa, na kwa nafasi yake ni vitu muhimu mnoo, kimoja wapo ni jicho la pasi, kuna matukio kama matatu hivi alitakiwa kupiga pasi moja tu ya madhara, akaturn na kupiga pasi ya kupossess badala ya kushambulia.

Hii ndio ilikua injection nail yetuSema Zikchenko jamaa, pamoja na weakness ya kukaba, ila jamaa linajua ball kisawasawa.
Saka kibunda kimeanza kumlevyaHua nasema ukiona mchezaji kaanza kua busy na nywele mara aweke rangi au abadili mitindo ujue ndiyo mnampoteza.
Angalia Trent, Pogba, Rashford na leo namuona Saka.
Toa blichi ilo babuit's arsenal twinkle on top of the tree..
Analeta "vibe" la Chidi MakameSaka aondoe hizo rangi zake kichwani.