Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hata wakiwepo there is no way watapokea ofa ya kumuuza Saka au Martinelli leo
Inawezekana tumeboresha utendaji wetu. Unaona siku hizi wachezaji vijana wazuri wanaongezewa mikataba mapema. Hii inafanya iwe ngumu kwa wapinzani kuwasogelea wachezaji wetu.

Kuhusu hao wachezaji wa newcastle, tusimind sana maana hata sisi tuliwataka au tulihusishwa na Isak, Bruno... kwa hiyo tuwapongeze kwa kupata wachezaji. Labda Labyrinth anajaribu kutuambia kuwa tungekuwa na Bruno, Isak, Wilson na Gordon saivi tungekuwa tumebeba kombe 🤣
 
Usikose kuangalia mechi ya Arsenal women vs Chelsea women saa 4.30 usiku wa leo SS chaneli 225
Leo tupambane nao. Chelsea women huwa wako vizuri. Nadhani lately wametuovertake kama most successful women's team ya England.
 
Inawezekana tumeboresha utendaji wetu. Unaona siku hizi wachezaji vijana wazuri wanaongezewa mikataba mapema. Hii inafanya iwe ngumu kwa wapinzani kuwasogelea wachezaji wetu.

Kuhusu hao wachezaji wa newcastle, tusimind sana maana hata sisi tuliwataka au tulihusishwa na Isak, Bruno... kwa hiyo tuwapongeze kwa kupata wachezaji. Labda Labyrinth anajaribu kutuambia kuwa tungekuwa na Bruno, Isak, Wilson na Gordon saivi tungekuwa tumebeba kombe 🤣
Arsenal huwa wana utaratibu wa kufatilia kitu kwa muda..wakinusa tu uncomfortability yyte wanaachana na hcho kitu...alishawahi kusema Edu kwny Interview mojawapo....anaweza mpk kufanya kikao na wakala wako na familia yako kabisa ila akiona tu kuna kitu hakiko sawa anachomoa....kwhyo I'm so sure hao kina Isak sijui Bruno ilifikia hatua akaona haya makopo akaachana nayo....huwezi mfananisha Bruno na Kai hata kidogo...utakuwa mwehu
 
Mechi ilishapigwa mapema sana....hayo yatakuwa marudio...Chelsea Women amekung'utwa goli 4-1....striker la Arsenal anaitwa Russo kaingia kambani mara mbili leo
 
Arsenal huwa wana utaratibu wa kufatilia kitu kwa muda..wakinusa tu uncomfortability yyte wanaachana na hcho kitu...alishawahi kusema Edu kwny Interview mojawapo....anaweza mpk kufanya kikao na wakala wako na familia yako kabisa ila akiona tu kuna kitu hakiko sawa anachomoa....kwhyo I'm so sure hao kina Isak sijui Bruno ilifikia hatua akaona haya makopo akaachana nayo....huwezi mfananisha Bruno na Kai hata kidogo...utakuwa mwehu
Walitaka tu pesa ambazo sisi tuliona hawastahili. Sokoni bei ya kumuuza mchezaji kwa Arsenal, na pia hata Man Utd na Chelsea, ni juu kuliko kumuuza mchezaji huyo huyo Newcastle au Tottenham. Edu huenda hakutaka kupigwa. Na tumekosa wachezaji wazuri kwa kukataa kupigwa bei za kihuni sokoni
 
Mbona wansonyesha ni live?
arsenal2004 ametushtua kuwa hii kazi warembo wetu walishaifunga mapema .
1702238077327.png

Mead anataka kufidia aliopoteza kwenye matibabu.
 
Inawezekana tumeboresha utendaji wetu. Unaona siku hizi wachezaji vijana wazuri wanaongezewa mikataba mapema. Hii inafanya iwe ngumu kwa wapinzani kuwasogelea wachezaji wetu.

Kuhusu hao wachezaji wa newcastle, tusimind sana maana hata sisi tuliwataka au tulihusishwa na Isak, Bruno... kwa hiyo tuwapongeze kwa kupata wachezaji. Labda Labyrinth anajaribu kutuambia kuwa tungekuwa na Bruno, Isak, Wilson na Gordon saivi tungekuwa tumebeba kombe 🤣
Isak na Bruno nimewahi kusema tumehusishwa nao.

Kwa maoni yako Bruno anatakiwa amuweke benchi Rice?
 
Kuna mmoja anakwambia Guimaraes n bora kuliko Partey nikaona kwrli unazi umezid, labda kumzid fitness vile partey n majeruh sana lakin akiwa fit mbugimbugi Partey ana hatarii
 
Isak na Bruno nimewahi kusema tumehusishwa nao.

Kwa maoni yako Bruno anatakiwa amuweke benchi Rice?
Bruno hamuweki bench rice kwenye team yetu. Pia sidhani kama tulimtaka acheze kama DM kwa Partey. Labda kama LCM, ambapo anacheza Havertz saivi, na Arteta alikuja kumfundisha Xhaka hiyo position na akaimudu vizuri tu.
 
Mkuu hyo mpiga viwiko hapati namba kwa mchezaji yyte pale Arsenal labda awe muokota mipira🤠🤠🤠...nashangaa sana anapotajwatajwa eti naye kama anajua bolu vile
 
Mechi nne za mbele zinaweza mpeleka nyukesto hadi nafasi ya 12
Na iwe hivyo, yaani amina. Huwa hatuna shida na toon army ila wametuudhi sana hivi karibuni. Wapigwe tu na kila atayekatiza na Ulaya pia watolewe
 
Ilibidi tule kona kidogo kuwaacha wapiga domo wa Ukengeni na Unyumbuni wajifariji kwanza. Na hapa tunashukuru timu zao hazikupata matokeo, maana balaa lingekiwa mara mia zaidi.
 
Back
Top Bottom