Charlz ze son conscious
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 563
- 856
HUYO HAPO DANI ALVES .! ( Amewa cook MIGOS )
[emoji1593]Hii kwa Liverpool ndio huwa tunaita " vurugu yenye muundo " a controlled chaos , jinsi wanavyocheza Liverpool hawapotezi muda na mpira kupiga pasi zaidi ( extra passes ) bali wanaangalia space ilipo na kuachia pasi ya mbele haraka sana , ngumu sana kukabiliana nayo
[emoji1593]Liverpool walikuwa wanabadilisha muundo wanapokuwa na mpira kutokana na jinsi wanavyokuwa wanazuia bila mpira
1: Kuna nyakati wanakuwa 3-2-2-3 endapo Chelsea watazuia kwa 4-4-2 , na 2-3-5 endapo Chelsea wakizuia kwa 4-5-1
2: Msingi wa muundo huu ni Bradley : Kivipi ? Yeye ndio alikuwa anasogea juu zaidi kama winga kumruhusu Jota kutoka kulia na kuingia ndani kutengeneza namba 10 wawili na Jones ( nyuma wanabaki watatu Konate VVD na Gomez ) mbele yao Szobo na Mac Allister
3: Bila mpira haraka sana Liverpool wanafanya pressinf kwa 4-1-4-1 : Maca anabaki kwenye namba 6 peke yake : Dhumuni kubwa ni kuwanyima uhuru Caicedo na Enzo kupokea mali na kufunga njia ya pasi kwa Palmer , Gallagher na Sterling
[emoji1593]Baada ya hapo ilikuwa Liverpool tu wenyewe wanataka kufunga magoli mangapi maana spaces walipata za kutosha , mpira ulitembea kwa haraka sana , movements sahihi zilifanyika , nafasi zilitengenezwa nzuri .
[emoji1593]Pochettino alipoamua kubadilisha mfumo kutoka 4-3-2-1 na kuwa 4-3-3 baada ya kuingia kwa Chukwuemeka na false 9 kuwa Nkunku ndio uliona Chelsea wanafika mbele kwa mipango , kuwafanya Liverpool kuzuia eneo kubwa zaidi la uwanja ( Sterling na Mudryk kuutanua uwanja pembeni ) ili Palmer na Chukwuemeka wapate space ya kuchezesha timu .
NOTE
1: Darwin Nunez na mahaba yake kugongesha mwamba [emoji3]
2: Diogo Jota ni mchezaji ambaye yupo smart sana . Mjanja sana[emoji91]
3: Badiashile ? Disasi ? Chilwell ? Daah [emoji848][emoji848]
4: Petrovic anapunguza sana idadi ya magoli : Good GK [emoji1666]
5: Chelsea nafikiri walipaswa kupata penati angalau moja leo
6: Finishing ya Nkunku : Classy[emoji91]
7: Mac Allister kapiga shilingi sita leo ya kiufundi sana, anatema mate kushoto anafukia kulia .
8: BRADLEY ..! Muda wa TAA kuhamia kwenye kiungo mazima sasa .! Katika mechi 4 alizocheza mpaka sasa amechangia magoli 6 .
AMBANGILE