Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ee bwana kweli the gunner ni sooo yani blackburn kapelekwa mchakamchaka kaa watoto wadogo kisha tukawafundisha soka tukawapiga 6-2 almanusra tuwapige wiki(7)

sasa hapo ligi ndio imeenza tunachukua pointi zote 12 ktk msimu huu wa sikukuu kisha mwenzi wa 2 2007 tutakuwa pale kileleni tunalinyemelea lile taji kubwa ambalo kwa sasa liko kibahati 2 kwa watoto wadogo chelsea ambao walikuwa na takribani miaka 50 hawajui utamu wa ubingwaaaaa

x-mas njema hususani kwa fans wa gunners kwani bao sita ni soo hii inamaanisha tumefunga na mabao ya mechi inayokujaaaaaaa
Kumbe hamjaanza leo kudanganya asee
 
Wakuu Leo itabidi aanze Trossard left Wing ,tuko na broo wake Clement Trossard(ref) ,Kai false 9, saka Right wing
 
odegard:
sikilizeni, popote ninaposhika mali saka na white mfungue na Rice uwe tayari kwa mipira iliyo kufa

Kai;
I will do destruction for constructive, nitakua Kama cheating code. Mara moja moja nitakua najaribu

Saka
Mkiona Naingia nayo ndani, mniache nifanye Mambo yangu ila ukiona naenda nayo Hadi kwenye kibendera mjiandae kwa kupokea assist

Odegard
Pass zote ngumu nileteeni Mimi

Rice
Nadhani tunajua Cha kufanya ukipata mpira Nje ya 18.

Saliba
Kwenye Kona kazi yenu ni kuwavuruga tu, Mimi na tinga tinga magalhaes tutasimamia show

Raya
Oya wanangu, mjiandae kwa mipira mirefu. Leo ndio tutajua umri sahihi wa watu hapa
IMG-20240312-WA0011.jpg
 
False hopers mpo katika kilele cha furaha ya FALSE HOPE . Mnatamba wenyewe tu humu tutawaeleza nini wakati mnaongoza ligi 😂.

Lakini muda ndo umeanza kufika kuelewa ni kwanini mnaitwa False hopers.
10 games to go !!!!
Nilimiss sana jukwaa hili la vituko na kila aina ya hopes hatimaye nimerudi lakini sina cha kuongea maana mpo katika peak of false hopes nitaeleza nini mnielewe , siku zinavyokwenda tutapata cha kuwaeleza .
 
Mnaendeleaje na chezaji la Dunia Gordon🤠🤠...kelele nyiingii halafu unashamgilia vituko
 
Mnaendeleaje na chezaji la Dunia Gordon🤠🤠...kelele nyiingii halafu unashamgilia vituko
Gordon ana ubaya gani? wachezaji wangapi pale Arsenal wamemzidi goals? Sijawahi kuona ubaya wa gordon so far.
Ndo maana nikasema kwa sasa sina cha kuongea nitakueleza nini false hoper muda huu upo katika kilele cha false hope .
Hongera kwa kuchukua EPL NA UEFA 😆. Magpies tupo mtaa wa 10 without any hope , ila ni bora zaidi kutokuwa na hope kuliko kuwa na false hopes
 
Pale kati Jorgihno ,Rice na Odergaad ,nyuma Zinchenko awe ana invert ,Gabriel,Saliba ,alafu yule white leo awe RB full ili Zin akishindwa kazi first half,second half aiingie Kiwior then White Ana Invert + mipira ya juu
 
False hopers mpo katika kilele cha furaha ya FALSE HOPE . Mnatamba wenyewe tu humu tutawaeleza nini wakati mnaongoza ligi .

Lakini muda ndo umeanza kufika kuelewa ni kwanini mnaitwa False hopers.
10 games to go !!!!
Nilimiss sana jukwaa hili la vituko na kila aina ya hopes hatimaye nimerudi lakini sina cha kuongea maana mpo katika peak of false hopes nitaeleza nini mnielewe , siku zinavyokwenda tutapata cha kuwaeleza .
Broo umekuja muda muwafaka kabisa, misiba ndio inaanza leo, sisi kama majirani tayari tumeshaandaa mikeka kwa ajili ya kuweka matanga humu
 
Back
Top Bottom