Asante sana godwini lakini katibu wa kamati ya ulinzi na usalama imebadilishwa kidogo,katibu wa kikao katika mkoa ni katibu tawala mkoa (ras) na katika wilaya ni katibu tawala wilaya (das),ma rso na dso wamebaki kama washauri tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.