Hatimaye Zitto Kabwe akaa meza moja na UKAWA

zitto ni yuleyule. tatizo lilikuwa ni madaraka tu. nashangaa hujui hata suala dogo kama hili. au na wewe ni walewale nyumbu?
Wewe kima nani ambaye hakuona ile ripoti ya uozo na usaliti aliokuwa akiufanya Zitto?
Kama hukuiona au hukuamini hainihusu.
 
Huwezi kum'beza Zito ndugu,huyo ni kijana mtumia akili,kua nae ndani ya chama ni faida,walijua kuna siku atakua kuja mwenyekiti wa chama wakampangua kwa visingizio vingi visivyo vya kweli,tuendako huyo kijana akiwa hai atakwezwa na watashushwa waliomdidimiza
Mahaba, unatoka kwenye mantiki unaenda kwenye itikadi.
 
Katika kuonesha ni kwa namna gani Ukawa imekua bure kabisa, kwa kukosa watu wenye weledi na uwezo wa kujenga hoja.

Hivi majuzi wamekubali wenyewe kua zito alikua na mchango mkubwa kukijenga chadema, wamedhihirisha wenyewe ni kwa namna gani hawana uwezo wa kujenga hoja.

Sijui ni nani katika kambi yao angeweza kujenga hoja mara zote kama sio kudandia hoja ya zito.

Ni dhahiri kabisa, Muunganiko huu wa ukawa ungeleta janga kuu kwa taifa letu kama wangeshinda uchaguzi mkuu, tuna bahati sana hayo hayakutokea, tungejuta na tungekula majani kwa kuwapa nchi watu wasio na uwezo wa kusoma hata vifungu vya kanuni.
 
We kweli stroke
 
Mwanzoni alibezwa kwamba asingefanya chochote bungeni kwa kuwa ni mbunge pekee wa chama chake, amedhihirisha kuwa waliombeza hawakuwa sahihi.
 
Hawa jamaa baada ya kugundua hilo, wanaanza msifia tena, hawajielewi, inataka akili za aina yake kua mwanaukawa
 
Namna ulivyoandika inatosha kutuonyesha kwamba kichwani ni mweupe sana na unapenda kuwaabudu watu wengine kwasababu mwenyewe unajijua ni mtupu,so stop judging the world around you using your own small world.
Katika kuonesha ni kwa namna gani Ukawa imekua bure kabisa, kwa kukosa watu wenye weledi na uwezo wa kujenga hoja.

Hivi majuzi wamekubali wenyewe kua zito alikua na mchango mkubwa kukijenga chadema, wamedhihirisha wenyewe ni kwa namna gani hawana uwezo wa kujenga hoja.

Sijui ni nani katika kambi yao angeweza kujenga hoja mara zote kama sio kudandia hoja ya zito.

Ni dhahiri kabisa, Muunganiko huu wa ukawa ungeleta janga kuu kwa taifa letu kama wangeshinda uchaguzi mkuu, tuna bahati sana hayo hayakutokea, tungejuta na tungekula majani kwa kuwapa nchi watu wasio na uwezo wa kusoma hata vifungu vya kanuni.
 
Katika kuonesha ni kwa namna gani Ukawa imekua bure kabisa, kwa kukosa watu wenye weledi na uwezo wa kujenga hoja.

Hivi majuzi wamekubali wenyewe kua zito alikua na mchango mkubwa kukijenga chadema, wamedhihirisha wenyewe ni kwa namna gani hawana uwezo wa kujenga hoja.

Sijui ni nani katika kambi yao angeweza kujenga hoja mara zote kama sio kudandia hoja ya zito.

Ni dhahiri kabisa, Muunganiko huu wa ukawa ungeleta janga kuu kwa taifa letu kama wangeshinda uchaguzi mkuu, tuna bahati sana hayo hayakutokea, tungejuta na tungekula majani kwa kuwapa nchi watu wasio na uwezo wa kusoma hata vifungu vya kanuni.

Wewe una weledi???
 
Tofautisha mgogoro uliopo baina ya Zitto na chama chake cha zamani (CHADEMA)na vyama vinavyounda UKAWA.Hili ndio tatizo la kufundishwa na walimu wa UPE kuanzia chekechea mpaka kidato cha nne ulipokomea.Maslahi ya taifa kwanza vyama baadae.
 
Ukawa hawana vichwa.enzi za kina slaa,hamad rashid,john cheyo hakuna mtu kususa kitoto,sasa hivi kuna wazee wa shanga,kitu kidogo tu wanatoka kwenda kurekebisha shanga
 
Unahasira za kuchaniwa kyupi mkuu
 
Jinga kabisa wewe is it a crime kuvaa shanga? Tulifikiri ni stroke tu kumbe na insanity juu yake
Uwezo wa Ukawa ni wa kujenga hoja za vyupi na shanger, wewe una vaa shanga ngapi mkuu
 
Ukawa hawana vichwa.enzi za kina slaa,hamad rashid,john cheyo hakuna mtu kususa kitoto,sasa hivi kuna wazee wa shanga,kitu kidogo tu wanatoka kwenda kurekebisha shanga
ni kweli kabisa mkuu , kile kizazi kilichokua kinatupa changamoto wana ccm kwa hoja mujarabu, kimepotea kwa tamaa za wanaukawa wenyewe..
 
Back
Top Bottom