kichenchele
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 539
- 176
Waheshimiwa mmalizapo kuwapunguza hao watumishi hewa, mimi nashauri pia mfuatilie na wale wote wanaotumia vyeti vya taaluma vya marehemu na kujipatia ajira, pamoja na vyeti vya diploma, degree na masters vya bandia na huku wakijuwa elimu hiyo hawakuipata kwa kukaa darasani.