Recent content by MELEKIZEDECK

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea kuwa Prof Anna Tibaijuka atafanya ubabaishaji kwa Wakazi wa Chasimba Kinondoni

    Inasikitisha sana mwanataaluma mtu msomi kama Prof Tibaijuka kwenda wazo kwa wakazi wa chasimba na kuwadanganya pia kutumia mamilioni ya fedha kufanya tathimini katika eneo la chaisimba akidai kuwa anataka kuwahamishia mabwepande huku hana lengo hilo. Tibaijuka mara kadha mwanzoni mwa mwaka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka na kitendawili cha mgogoro wa chasimba

    Kitendawili kigumu na ambacho pr Anna tibaijuka hajulikani namna atakavyokitegua kuhusu hatima ya wakazi wa chasimba. kimeendelea kuwatesa wakazi wa chasimba kwa miaka miwili sasa huku kukiwa haukuna jibu lolote nini kinaendelea. kwani matumaini ya wakazi wa chasimba yalijongomea pale...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chasimba Kinondoni, Macho yao kwa mh. Tibaijuka wiki hii

    Wakati wakazi wa eneo lenye mgogoro na kiwanda cha Wazo Hill maarufu kama Chasimba, Wakisubiri kwa hamu kusikia kutoka kwa waziri Tibaijuka hatima ya makazi yao. Kikundi kinachojita Mungiki kimeunda jopo la watu kadha kwenda kwa Mkurugenzi wa manispaa kudai kumilikishwa eneo hilo, hii imetokana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Anna Tibaijuka, Ondoa ukimya maliza mgogoro wa Chasimba -Kinondoni

    Waziri wa nyumba na maendeleo ya makazi Pr Anna Tibaijuka aliyetangaza kuwa lazima mgogoro wa wakazi wa Chasimba na kiwanda cha wazo uishe mapema, Anaweza kujikuta ukishuhudia mauaji katika eneo hilo kama busara zake za kuwahamisha hazitafanikiwa ndani ya wakati. Tangu waziri athamini eneo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Prof.Anna Tibaijuka na mgogoro wa Chasimba

    Siku za karibuni eneo la mgogoro wa ardhi kati ya kiwanda cha saruji wazo na wakazi wa chasimba kinondoni limegeuka kuwa kambi maalumu ya kupanga mikakati ya uhalifu eneo hilo limetumika kuuza dawa za kulevya, bangi na kupanga mikakati ya uhalifu, kwani watu mbalimbali hukusanyika eneo hilo na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Prof.Anna Tibaijuka na mgogoro wa Chasimba

    Waziri wa ardhi nyumba na makazi pr Anna Tibaijuka ambaye alijiingiza kuutatua mgogoro wa wakazi wa chasimba na kiwanda cha wazo uliodumu takribani miaka kumi sasa. kuna kila aina ya dalili kuwa sasa suala hilo linamlemea awali Tibaijuka alionyesha nia ya kumaliza mgogoro huo mapema,lakini mpaka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ajali Ajali JKT kona ya Mtongani Mbezi

    Nimeona hii asubuhi mara tu baada ya kupita sheli ya sinkansika kama umetoka tegeta, uhai sehemu yake ndogo na ndiyo thamani ya mwanadamu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ajali Tegeta Kibaoni

    Nimeiona hiyo ajali chakushukuru hakuna aliyepoteza maisha maana nilivyoiona ile fuso ikiwa imelaliwa na lori sikutegemea kuwa kuna mtu kasalimika
  9. M

    JamiiForums Tanzania DIT ni chuo cha technolojia lakini hakilingani na hiyo sifa hata kidogo

    Pamoja na kuwa DIT ndicho chuo cha technolojia hapa nchini lakini huwezi amini kimeshindwa kudhihirisha kwa vitendo ufanisi wake, angalia website yake ni kama ya wakulima tu mambo ya miaka iliyopita ndiyo yanaonekana hakuna vitu vipya sii hivyo tuu matokeo ya supplimentary kwa wanafunzi bado...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya taifa:-

    Kama mahali pengine ambapo pesa ya serikali inaliwa ni kupitia vitambulisho vya Taifa hakuna kinachofanyika angalia wafanyakazi mpaka leo hakuna vitambulisho wakati walichukua kumbukumbu za mda mrefu sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sababu 5 CCM Kushinda Uchaguzi 2015

    kumbuka kwa mara ya kwanza udini umeasisiwa na JK wakati wa kampeni 2010 matunda yake yameonekana mwaka huu watu wanachoma makanisa na kukujolea msaafu huu ni uongozi wa ccm ndugu ccm imepoteza maadili ya kulinda amani ya tanzania.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nbc wanachofanya wanatafuta kufukuza wateja

    :A S cry: Huwezi kuamini mishahara ya serikali ilishaingizwa NMB toka wiki moja iliyopita lakini NBC kwa kujiamini sana hawajaingiza hizo pesa mpaka sasa ukizingitia serikali yenyewe inachelewesha mishahara NBC nao wanachelewesha ILa tunawsiliana na waathirika wa NBC ili tuchemshe dawa maana...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya sana imetokea eneo la samaki mbezi beach wilayani kinondoni

    :confused3:Asubuhi ya leo napita pale samaki mbezi beach nimeona mtu yuko vipande vipande hatazamiki akiwa ameshapoteza uhai watu wakimwangalia kwa mbali maana hata kumwangalia ni inahitaji moyo.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya serikali za mitaa salasala mabanda mengi ni kituo cha rushwa rasmi

    Kila ifikapo mwishoni mwa mwaka kuna watu wanaoshirikiana na viongozi kutoka ofisi ya serikali za mitaa, salasala mabanda mengi kuwaibia wananchi wa maeneo ya salasala kwa Babu na maeneo mengine.Watu hao hujitambulisha kama wafanyakazi wa TRA, watu hao husumbua wafanyabiashara wa maeneo hayo kwa...
Back
Top Bottom