Ajali Tegeta Kibaoni

Ajali Tegeta Kibaoni

mayonise

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
259
Reaction score
50
Roly la kiwanda cha wazo limepata ajal eneo la tegeta kibaon wakati likitokea kiwandan kwa kgonga fuso na kutumbukia mtaron,hakuna aliyepoteza uhai,wawil wamejeruhiwa,source me mwenyewe.
 

Attachments

  • Photo0112.jpg
    Photo0112.jpg
    38.3 KB · Views: 931
Vibaka kama kawaida yao walianza kujisavia saruji.
 
pole kwa majeruhi! MUNGU WETU ATULINDE SANA WASAFIRI WOTE! amen!
 
Ajali ina kinga if only drivers will concentrate on wheel steering! Haihitaji degree kuendesha gari ila uzembe umezidi. Nadhani kuna haja ya kuwapima madereva kama walikunywa pombe/wana hangover kila siku asubuhi kabla ya kuwapa funguo wa gari. SORRY
 
Ajali imetokeo eneo lile lile sugu kwa ajali za malori ya cement!

Jinsi ilivyotokea huwezi kuamini kuna aliyepona!
 
Hapo Tegeta kibaoni kuna tatizo gani?maana ajali hutokea mara kwa mara!!
 
Nimeiona hiyo ajali chakushukuru hakuna aliyepoteza maisha maana nilivyoiona ile fuso ikiwa imelaliwa na lori sikutegemea kuwa kuna mtu kasalimika
 
:confused2::confused2::confused2::confused2:

Hiyo Mercedes truck ina miaka zaidi ya thelathini (hazitengenezwi tena).......only in Tanzania zinafanya kazi


attachment.php
 
Poleni wajeruhiwa....
Ndio maana nikakumbana na foleni kubwa vile wakati nakuja kazini!
 
yaan pale sijui wapafanyeje maana haya maloli ya cement ya wazo sijui
 
hiyo njia ni mbaya sana,nawaombeni madereva wenzangu tunayoitumia hiyo njia tuwe makini sana na malori,
 
Kuna haja ya kuangalia haya malori yanayotoka huku kiwanda cha saruji,imekuwa kawaida kwa madereva wa hayo maloli kusababisha ajali,ni ajali nyingi zimetokea hilo eneo na kusababisha upotevu wa maisha ya watu,naweza kusema bila kupepesa macho,chanzo ni kiburi cha madereva wa hayo malori,kwani ajali zinatokea tu pale hayo malori yanaposhuka kutoka kiwandani na si yanapopanda,hii ni kutokana na mwendo mkali ambao hutoka nao juu kule kiwandani ambako ni mlimani na mwishowe huishia kushindwa kuyamudu hayo malori,hao madereva wana jeuri sana wanadai hiyo barabara ni yao na ni wavuta BANGI wakubwa.Kwa ufupi hizo ajali ni maksudi ya madereva wa hayo malori yanayobeba saruji,tena sana sana ni ya kiwanda chenyewe ndio yanayongoza kwa ajali,nafikiri kuna haja ya MV inspector wa Saruji kufukuzwa kazi ameshindwa kusimamia madereva wake pia anaitia hasara kampuni yake kwa milori yao kuangushwa kwa uzembe.Hata kuhamisha kituo kutoka kibaoni kwenda soko la nyuki hakusaidia kupunguza ajali,mi nafikiri hiyo barabara ingekuwa kwa magari madogo tu hayo malori yangetengenezewa barabara yake ,ambayo ingekuwa haijanyoka ingeenda upande upande hadi boko halafu ndio iingie barabara kuu,ni kama vile pale Korogwe kwenye hotel ya Dar Express walivyofanya kwenye ile barabara kuu ya Moshi-Tanga
 
Hapo Tegeta kibaoni kuna tatizo gani?maana ajali hutokea mara kwa mara!!
pana tatizo la mteremko mkali toka Wazo Hill ambapo magari hasa mabovu hushindwa kukamata breki kabla ya kuiniga main road hapo huhweza kugonga magari mengie au kuanguka vibaya
 
Back
Top Bottom