King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,796
- 94,865
Watu zaidi ya watatu wamekufa,ni ajali ya uso kwa uso kati ya Scania na Winchi
Asubuhi hii? Dah. Mtanzania hana thamani!
Neno JKT hapo linahusikanaje na ajali,,hebu funguka au bado umelala?Watu zaidi ya watatu wamekufa,ni ajali ya uso kwa uso kati ya Scania na Winchi
Asubuhi hii? Dah. Mtanzania hana thamani!