Nbc wanachofanya wanatafuta kufukuza wateja

Nbc wanachofanya wanatafuta kufukuza wateja

MELEKIZEDECK

Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
15
Reaction score
0
:A S cry: Huwezi kuamini mishahara ya serikali ilishaingizwa NMB toka wiki moja iliyopita lakini NBC kwa kujiamini sana hawajaingiza hizo pesa mpaka sasa ukizingitia serikali yenyewe inachelewesha mishahara NBC nao wanachelewesha ILa tunawsiliana na waathirika wa NBC ili tuchemshe dawa maana wamewachoka wateja.
 
I think wafanyakazi hawamtaki mafuru...
So wanahujumu kampuni
 
:A S cry: Huwezi kuamini mishahara ya serikali ilishaingizwa NMB toka wiki moja iliyopita lakini NBC kwa kujiamini sana hawajaingiza hizo pesa mpaka sasa ukizingitia serikali yenyewe inachelewesha mishahara NBC nao wanachelewesha ILa tunawsiliana na waathirika wa NBC ili tuchemshe dawa maana wamewachoka wateja.

Nafikiri hundi iliyopelekwa itakuwa hewa..Serikali ya CCM haina pesa jamani au mpaka wapige ngoma ndio muelewe?
 
labda inategemeana na sehemu,mbona sisi tushapata!
 
Nina wasi wasi serikali dhaifu bado haijapeleka cheque uko nbc, sidhani kama benki wanaweza kudelay kuwawekea watu mishahara yao for no reason!!Au wamewapa account ambazo hazina pesa.Poleni waanga
 
NBC kwasasa ni janga la kitaifa, hata Corporate branch ambayo ni HQ uozo mtupu
 
Wakuu serikali haijapeleka cheque hazina imekauka si kuwa NBC ndio wanachelewesha mishahara
 
Back
Top Bottom