Chasimba Kinondoni, Macho yao kwa mh. Tibaijuka wiki hii

MELEKIZEDECK

Member
Sep 25, 2012
15
0
Wakati wakazi wa eneo lenye mgogoro na kiwanda cha Wazo Hill maarufu kama Chasimba, Wakisubiri kwa hamu kusikia kutoka kwa waziri Tibaijuka hatima ya makazi yao.

Kikundi kinachojita Mungiki kimeunda jopo la watu kadha kwenda kwa Mkurugenzi wa manispaa kudai kumilikishwa eneo hilo, hii imetokana na waziri Tibaijuka Kuchelewa kutoa tamko kuhusu mgogoro huo,huku wakazi wengine wakiendelea kujenga nyumba zao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom