Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,325
CHERISTIAN CHURCH MOVEMENT (CCM) Ni chama safi kabisa kwa sababu na KIKWETE hajawahi kutokea mfano wake kwa mamba makubwa alioyafanya na anayondelea kuyafanya, mfano;
1. 2005 sembe 250. 2012 sembe 1000.
2. 2005 nauli DAR-MLANDIZI 600. 2012 Nauli 1900.
Ilmu ya uchumi ni muhimu sana kwa jamii ili kuondoa masuala ya kitoto kama haya.
Pole sana