Prof.Anna Tibaijuka na mgogoro wa Chasimba

Prof.Anna Tibaijuka na mgogoro wa Chasimba

MELEKIZEDECK

Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
15
Reaction score
0
Waziri wa ardhi nyumba na makazi pr Anna Tibaijuka ambaye alijiingiza kuutatua mgogoro wa wakazi wa chasimba na kiwanda cha wazo uliodumu takribani miaka kumi sasa. kuna kila aina ya dalili kuwa sasa suala hilo linamlemea awali Tibaijuka alionyesha nia ya kumaliza mgogoro huo mapema,lakini mpaka sasa mwaka mmoja, ulishaisha machi2014 na hakuna kinachoendelea.Huku akiwaacha wakazi hao kwenye wakati mgumu kwani wengine nyumba zao zilibomolewa na mvua kubwa zilizonyesha. kikundi kinachojiita mungiki kinachopinga zoezi hilo kimekuwa kikitoa taarifa tofauti za kuwachanganya wakazi hao na tayari kimegawa namba za nyumba kuonyesha uhalali wa eneo hilo kwa kuishi. ukimya wa waziri unawapa taabu wakazi hao
 
Siku za karibuni eneo la mgogoro wa ardhi kati ya kiwanda cha saruji wazo na wakazi wa chasimba kinondoni limegeuka kuwa kambi maalumu ya kupanga mikakati ya uhalifu eneo hilo limetumika kuuza dawa za kulevya, bangi na kupanga mikakati ya uhalifu, kwani watu mbalimbali hukusanyika eneo hilo na kituo chao kipo eneo maarufu kwa Oman palikuwa na bar imefungwa taarifa hizo polisi wa kituo cha wazo wanazo ila wanachofanya hufika eneo hilo na kukusanya fedha kasha wakawaachia huru bila kukamata mtu.
 
Back
Top Bottom