Mathayo 5:28
"Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake."
Andiko Hilo linamaanisha kumtamani mwanamke ni uzinifu , huwez fanya punyeto bila kutamani .. kwahyo punyeto Moja kwa Moja inakuingiza kwenye dhambi ya kutamani !! Ambayo...
Ndo hvyo Mkuu, psrs wanafanya mtu akiulizwa anafanya Kazi Gani, ajibu anafanya Kazi ya kutafuta Kazi,. Mana kutafuta Kazi kupitia psrs ni Kazi tosha!! Unaweza malizia hadi mwaka na zaidi
Sio Miezi 8 tu Mkuu zingine Hadi mwaka, Mfano ya TRA imechukua mwaka, mana nafasi zilitangazwa mwaka Jana mwezi wa tatu interview ya oral watu wamekuja kuitwa mwaka huu na bado tu Mchakato hujakamilika, kweli Ajira ni mchakato.. just imagine
Mkuu kama shida ingekuwa ipo utumishi, basi baada ya utumishi kutoa placements za TRA, waliopata TRA wangekuwa wameshaenda induction na kuanza mafunzo Lakin sahiv wik ya 3 hakuna induction.. Mi naona shida ipo kwa waajiri wenyewe. Kama kweli wangekuwa na uhitaji wa haraka kiasi hicho...
Ata mimi nasubiri hyo kaka, hamna kitu kigumu kama kusubir kitu usichojua ni lini, yaan shida tupu!! Bora mtu akwambie mwezi wa sita au wa tano, kuliko kutokutaja na usubir simu!!
Naombeni kuuliza kwa wenye ufahamu na hili jambo mnisaidie, hivi barua ya kuitwa kazini inavyoandikwa kuwa uripoti ndani ya siku 14, Lakin barua imeandikwa tokea tarehe 04 mwezi wa pili.. hapa wanamaanisha nn kuwa wanahesabu siku 14 tokea tarehe barua ilipoandikwa au wanahesabu tokea siku...
Na hichi kitu kilikuwa kinaniwazisha, kuwa tumepita wachache kwenda oral, je itakuwa ndo guarantee ya kupata wote?, Niliwahi kuuuliza humu JF watu wakaniambia niandae Suti nimeshapata..
Ni kweli nimepata lakn haikumaanisha wote tulienda oral tumepata!! Na nili relax mno nikijua sababu tupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.