HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna mambo mengine viongozi wapunguze kuahidi kama hawana uhakika nayo..
Nakumbuka tar 19/2 kwenye oral tulikuwa na katibu mkuu wa utumishi, akatusisitizia kabisa, " after 1-2 weeks PDF itakuwa tayr" Tena alikuwa anaongea kwa kumaanisha.
Ila kwa hichi kinachoendelea sijui shida ipo wapi
 
Uhalisia wamechukua database maana hawajawahi tangaza hizo nafasi na watu wakafanya sahil, changamoto niliyoiona hapo for my side ni copy and paste of past headings.!

Wewe mpaka leo wanaagiza barakoa kweli.!
Kwenye barakoa hapo, kuna sahili wanakaza kweli kweli wakati wa kukagua vyeti na ID,..

Jamaa wa kuandaa hilo pdf afanye kazi yake kwa usahihi, kama ni watu wa kutoka pdf, aseme, tangazo hili linahusu watu waliokua kanzidata baada ya kupatikana nafasi.
 
Kuna mambo mengine viongozi wapunguze kuahidi kama hawana uhakika nayo..
Nakumbuka tar 19/2 kwenye oral tulikuwa na katibu mkuu wa utumishi, akatusisitizia kabisa, " after 1-2 weeks PDF itakuwa tayr" Tena alikuwa anaongea kwa kumaanisha.
Ila kwa hichi kinachoendelea sijui shida ipo wapi
😀😀😀 Wewe unashangaa Hilo...
Kuna watu humu wa mwezi wa 11
Mfano SUA,OUT,IAA,ARIMO,MoCu,TMC...Sijui wengine ila oral Zilikuwa tarehe 28/11/2022-01/12/2022 ila mpaka Sasa mzigo wa Placements haujatoka.
Malalamiko Makubwa ya PSRS ni kuchelewesha Placements tu,mfano Mimi hapa nilipo nasubiri placements au kwenda kuripoti kituo cha kazi/kwenda Masomoni,ila mpaka Sasa sieleweki nishike lipi...
Mbanti
 
Kwenye barakoa hapo, kuna sahili wanakaza kweli kweli wakati wa kukagua vyeti na ID,..

Jamaa wa kuandaa hilo pdf afanye kazi yake kwa usahihi, kama ni watu wa kutoka pdf, aseme, tangazo hili linahusu watu waliokua kanzidata baada ya kupatikana nafasi.
Uzurii barakoa hapo getini kuingia Asha Rose Migiro zipo wadau wanauza na hata kule Theatre zipo.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Wewe unashangaa Hilo...
Kuna watu humu wa mwezi wa 11
Mfano SUA,OUT,IAA,ARIMO,MoCu,TMC...Sijui wengine ila oral Zilikuwa tarehe 28/11/2022-01/12/2022 ila mpaka Sasa mzigo wa Placements haujatoka.
Malalamiko Makubwa ya PSRS ni kuchelewesha Placements tu,mfano Mimi hapa nilipo nasubiri placements au kwenda kuripoti kituo cha kazi/kwenda Masomoni,ila mpaka Sasa sieleweki nishike lipi...
Mbanti
Hizo ni taasisi zenyewe zinatoa matokeo fatilia sana website zao hao utumishi wapo kama gazeti tu kutangaza
 
Huo usaili ulifanyika DODOMA.Usaili ukifanyikia pale PSRS-Dr.Asha Rose Migiro Lazima majibu upate kupitia website ya Utumishi.
Ila ukifanya kwenye Taasisi husika na kama usaili pia Taasisi husika ilikuita basi utaona kote kote hata kupigiwa simu na taasisi husika, kwani unaweza ripoti kituo Cha kazi kwenye Taasisi husika lakini PDF ya placement ikaja wekwa Kwa kuchelewa kwenye Website ya Utumishi.....
 
Huyu jamaa sijamuelewa anafikiri hizi ni kama Ajira za Watendaji Kata/vijiji.

Wasaka ajira tumekua too negative. Inapelekea hata tunakua na data za uongo na sisi tunazisambaza vile vile.

Wakati mwingine kuna vitu zinazungumzwa na wanasiasa na sisi tunavibeba vile vile. Imagine kuna watu wanasubiri pdf la watu 1700+ kutoka database??

I mean just think about it. 1700+ at once[emoji23].

Ukisema ukweli unaonekana unakatisha watu tamaa au unaonekana haujali wenzio.

Nimekaa pale.
 
Upo sahihi, 1700+ kweli huenda wapo ila eti kutoa at once sidhani.
Nilivyoelewa ni kwamba watakua wanachomoa kidogo kidogo mpaka mwaka uishe huenda wote tukawa tumechaguliwa au laa kulingana na uhitaji wa kazi husika na sifa za aliyepo database.
 
Huo usaili ulifanyika DODOMA.Usaili ukifanyikia pale PSRS-Dr.Asha Rose Migiro Lazima majibu upate kupitia website ya Utumishi.
Ila ukifanya kwenye Taasisi husika na kama usaili pia Taasisi husika ilikuita basi utaona kote kote hata kupigiwa simu na taasisi husika, kwani unaweza ripoti kituo Cha kazi kwenye Taasisi husika lakini PDF ya placement ikaja wekwa Kwa kuchelewa kwenye Website ya Utumishi.....
Hii kweli kuna Jamaa ameanza kazi amepigiwa simu na taasisi ingawa Utumish bado hawajatoa PDF ila ameanza kazi tulikuwa nae ktk mishe mishe pamoja
 
Wasaka ajira tumekua too negative. Inapelekea hata tunakua na data za uongo na sisi tunazisambaza vile vile.

Wakati mwingine kuna vitu zinazungumzwa na wanasiasa na sisi tunavibeba vile vile. Imagine kuna watu wanasubiri pdf la watu 1700+ kutoka database??

I mean just think about it. 1700+ at once[emoji23].

Ukisema ukweli unaonekana unakatisha watu tamaa au unaonekana haujali wenzio.

Nimekaa pale.
Kwamba inashindikana au? hahahah!
umewahi kuyasikia mabogi ya TPDF ama Polisi yana watu wangapi?
 
Wasaka ajira tumekua too negative. Inapelekea hata tunakua na data za uongo na sisi tunazisambaza vile vile.

Wakati mwingine kuna vitu zinazungumzwa na wanasiasa na sisi tunavibeba vile vile. Imagine kuna watu wanasubiri pdf la watu 1700+ kutoka database??

I mean just think about it. 1700+ at once[emoji23].

Ukisema ukweli unaonekana unakatisha watu tamaa au unaonekana haujali wenzio.

Nimekaa pale.
Acha kutukatisha tamaa watu 1700+ sio wengi hata kidogo kwa serikali hii wafanyakazi kibao ofisin wanahitajika na pia mbona kipind cha nyuma mfano walimu au Kada za afya wanaajiriwa zaidi ya buku 10 sembuse watu 1700
Sema utumishi wanazingua Tu kutoa vipdf vya page 1 inabidi vijana tuongee na mama yetu atusaidie maana inaumiza mtu mpaka ufike oral alaf huna majibu wala placement na kubaki na sintofahamu kama ulifeli ama vipi
 
Attachments

  • IMG_20230308_141415.jpg
    IMG_20230308_141415.jpg
    79.1 KB · Views: 17
Back
Top Bottom