HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu kama shida ingekuwa ipo utumishi, basi baada ya utumishi kutoa placements za TRA, waliopata TRA wangekuwa wameshaenda induction na kuanza mafunzo Lakin sahiv wik ya 3 hakuna induction.. Mi naona shida ipo kwa waajiri wenyewe. Kama kweli wangekuwa na uhitaji wa haraka kiasi hicho, wasingejivuta!!
Utaratibu wa Ajira ndugu yangu haupo kirahisi hivyo.. Serikalini kuna mambo mengi ya kuangalia kabla ya kufanya Slotting (kumuingiza mtu ktk Asali)

Sasa inategemea na taasisi.. TRA wapo wengi sana kuna mambo mengi ya kuangalia nitagusia kwa uchache.

1- Vetting
2- Academic Verification
3- Internal Placements (Ikumbukwe imepita mwaka mmoja tangia waombe hao watu hivyo kuna changes za uhitaji kulingana na kituo kimoja na kingine ukilinganisha na mwanzo).

Na pia zoez la kupangiw vituo mara nyingi wanaangalia huyo mtu Asili/mkoa wake (place of domicile) ni wapi?! Huko ndio itakuwa preference moja wapo ya kumpangia mtu kituo.

Mchakato wa ajira si mchezo.
 
Sawa
 
Waulize waliopangiwa mwaka jana kilichowatokea mtu asili mwanza anapangiwa dar,mtu asili dar anapangiwa Tanga....
 
Utaratibu wa Ajira ndugu yangu haupo kirahisi hivyo.. Serikalini kuna mambo mengi ya kuangalia kabla ya kufanya Slotting (kumuingiza mtu ktk Asali)

Sasa inategemea na taasisi.. TRA wapo wengi sana kuna mambo mengi ya kuangalia nitagusia kwa uchache.

1- Vetting
2- Academic Verification
3- Internal Placements (Ikumbukwe imepita mwaka mmoja tangia waombe hao watu hivyo kuna changes za uhitaji kulingana na kituo kimoja na kingine ukilinganisha na mwanzo).

Na pia zoez la kupangiw vituo mara nyingi wanaangalia huyo mtu Asili/mkoa wake (place of domicile) ni wapi?! Huko ndio itakuwa preference moja wapo ya kumpangia mtu kituo.

Mchakato wa ajira si mchezo.
Vyote ulivyoandika hapo si wanavyo kwenye system? Kama ni academic verification....si mfumo wenyewe unakutema kama hyo kazi wanahtaji ufaulu fulani...mpaka unaitwa kufanya usaili means kiwango chako cha ufaulu kwa kazi hyo kinafaaa unless hata kuitwa kwenye mchujo usingeitwa

Kwann kuwepo muda mrefu mno?? Kwan baadhi wanapangiwa vituo hata baada ya wiki mbili au tatu na wengine iende hadi miezi sita? Vetting na kujua mtu kazaliwa wapi inakuwaj haraka kwa baadhi ya taasisi na zingne kuwepo ucheleweshwaji?

Jamani tushajikatia tamaaaaaa na mpaka tunalalamika hv sio kwa ubaya labda tunatamani kujua yanayoendelea huko ndani.
 
Vyote ulivyoandika hapo si wanavyo kwenye system???
Kama ni academic verification....si mfumo wenyewe unakutema kama hyo kazi wanahtaji ufaulu fulani...mpaka unaitwa kufanya usaili means kiwango chako cha ufaulu kwa kazi hyo kinafaaa unless hata kuitwa kwenye mchujo usingeitwa

Kwann kuwepo muda mrefu mno?? Kwan baadhi wanapangiwa vituo hata baada ya wiki mbili au tatu na wengine iende hadi miezi sita?? Vetting na kujua mtu kazaliwa wapi inakuwaj haraka kwa baadhi ya taasisi na zingne kuwepo ucheleweshwaji?
Jaman tushajikatia tamaaaaaa...na mpaka tunalalamika hv sio kwa ubaya labda tunatamani kujua yanayoendelea huko ndani
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
 
Sekretarieti ya Ajira
 
Necta verification (Uhalali wa cheti)
Vetting kwa watu 500 unaona ni zoez la siku mbil ee.
 
Hujajua unacho kiongea labda kama una nia ya kupotosha.
Suluhisho la kulemewa utumishi ni vema ukashauri waongeze nguvu kwa kuajir au kuchukua maafisa utumishi halmashauri kwa kipindi chenye majukumu mengi.
Huko kwenye taasisi hakuna equity and equality at all.
Kuchukua watumishi halmashauri waje wasaidie kwenye matatizo yenu ya kujitakia ,

Kwan huko munispal wao Hawana kazi za kufanya mpaka waje wawasaidie vichwa vigumu nyie, wakati nao pia wameelemewa na majukumu kama nyie na Wana mapungufu ya wafanyakazi pia.

Utumishi kwann mnatumia wajinga kuja kujibu hoja zetu
 
Ajira ni Mchakato ambao una hatua mbalimbali mpaka kumpata mtumishi wa Umma anayefaa.

1. Hatua ya awali kabisa ni kupokea Kibali.
Kuna vibali vya aina mbili ambavyo hupokelewa kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi kwa ajili ya kuendesha mchakato wa Ajira kwa niaba ya Waajiri. Vibali hivyo ni;
(a) Vibali vya ajira mpya - hupatikana kutokana na Ikama ya kila mwaka wa fedha kulingana na mahitaji ya taasisi husika

(b) Vibali vya ajira mbadala - hupatikana baada ya kutokea upungufu wa mtumishi/watumishi katika taasisi aidha kwa kufariki, kuacha kazi, kuachishwa kazi, kustaafishwa kazi kwa manufaa ya Umma au kustaafu.

Hii nimequote kwenye uzi wao,kwa kuwatetea ni kusema tu wamezidiwa na zoezi la mchakato maana inafika waajiriwa wenyewe hawajui wameajiriwa kwa mwaka upi wa fedha,mfano Mtu wa MDA&LGA kaomba kazi mwaka jana mwaka wa fedha ukiwa 2021/2022 kwa kuwa ilikuwa mwezi wa tano,ikapita mwaka mzima bila kuajiriwa na wakati wametoa kuwa tutaajili idadi ya watu kadhaa mwaka husika wa fedha yaan 2022/2023 then imagine mtu anakuja kuitwa kazi july 2023 wakati mwaka wa fedha ushaingia 2023/2024.

Maana yake kuna usanii flan unafanyika kuhadaa uma na ndio maana matamko ya idadi ya ajira yanakuwa tofauti kwa kila kiongozi,huyu atasema hivi na yule vike ilimradi tu washajua udhaifu wetu vijana ni kwenye kusikia kauli nzuri za idadi ya ajira zitakazotoka na sio uhalisia.

Kuna vitu vinatia hasira sana kwa sisi vijana wa hali za chini maana mvua kwenye kilimo imekuwa tabu sana tunaokaa vijijini tunajua,hatuumii sana kukosa ajira kwa vile kuna wenzetu wanapata na inatutia moyo bali tunaumia na ile kauli mchakato haujakamilika na hujui ipi ni nafasi yako kama msailiwa na hii ndio inaleta sintofahamu kwa sisi wasaka asali.muongozo wao wenyewe upo wazi kuwa mpaka wanaita watu kwenye usaili means kibali kimeshapita kuwa watu wanahitajika.

Ni bora kipindi kilichopita zilikuwa hazipo na zikitokea ilikuwa ni wiki mbili mpaka tatu placement tayr kuliko sasa hv tunavyofanyiwa mental torture.ipo siku kauli zao watu watazichoka.
 
“Ukiona watu wenye akili tena timamu wanashauri mambo ya kijinga ujue fika wako na masilah nalo.” Mwisho wa kunukuu

Hizi taasisi zimeshindwa kujisimamia zije zisimamie kwa usawa,usahihi na haki watu kupata ajira?

Kama ni hoja utumushi wamezidiwa kwa kukosa man power basi ianze kuajiri kwa ajiri yaje yenyewe then ndo waajiri kwa ajiri
Unajua idadi inayotakiwa kukidhi mahitaji ya wafanyakazi psrs?.
Ukijua idadi inayoitajika psrs , ndipo utapojua psrs wapo Katika Hali gani kwenye utendaji kazi,
Tunapata mashaka na utendaji wao wa kazi
 
“Ukiona watu wenye akili tena timamu wanashauri mambo ya kijinga ujue fika wako na masilah nalo.” Mwisho wa kunukuu

Hizi taasisi zimeshindwa kujisimamia zije zisimamie kwa usawa,usahihi na haki watu kupata ajira?

Kama ni hoja utumushi wamezidiwa kwa kukosa man power basi ianze kuajiri kwa ajiri yaje yenyewe then ndo waajiri kwa ajiri
Unajua idadi inayotakiwa kukidhi mahitaji ya wafanyakazi psrs?.
Ukijua idadi inayoitajika psrs , ndipo utapojua psrs wapo Katika Hali gani kwenye utendaji kazi,
Tunapata mashaka na utendaji wao wa kazi
 
Ajira ni Mchakato ambao una hatua mbalimbali mpaka kumpata mtumishi wa Umma anayefaa.

1. Hatua ya awali kabisa ni kupokea Kibali.
Kuna vibali vya aina mbili ambavyo hupokelewa kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi kwa ajili ya kuendesha mchakato wa Ajira kwa niaba ya Waajiri. Vibali hivyo ni;
(a) Vibali vya ajira mpya - hupatikana kutokana na Ikama ya kila mwaka wa fedha kulingana na mahitaji ya taasisi husika
(b) Vibali vya ajira mbadala - hupatikana baada ya kutokea upungufu wa mtumishi/watumishi katika taasisi aidha kwa kufariki, kuacha kazi, kuachishwa kazi, kustaafishwa kazi kwa manufaa ya Umma au kustaafu.

Hii nimequote kwenye uzi wao,kwa kuwatetea ni kusema tu wamezidiwa na zoezi la mchakato maana inafika waajiriwa wenyewe hawajui wameajiriwa kwa mwaka upi wa fedha,mfano Mtu wa MDA&LGA kaomba kazi mwaka jana mwaka wa fedha ukiwa 2021/2022 kwa kuwa ilikuwa mwezi wa tano,ikapita mwaka mzima bila kuajiriwa na wakati wametoa kuwa tutaajili idadi ya watu kadhaa mwaka husika wa fedha yaan 2022/2023 then imagine mtu anakuja kuitwa kazi july 2023 wakati mwaka wa fedha ushaingia 2023/2024..maana yake kuna usanii flan unafanyika kuhadaa uma na ndio maana matamko ya idadi ya ajira yanakuwa tofauti kwa kila kiongozi,huyu atasema hivi na yule vike ilimradi tu washajua udhaifu wetu vijana ni kwenye kusikia kauli nzuri za idadi ya ajira zitakazotoka na sio uhalisia.
Kuna vitu vinatia hasira sana kwa sisi vijana wa hali za chini maana mvua kwenye kilimo imekuwa tabu sana tunaokaa vijijini tunajua,hatuumii sana kukosa ajira kwa vile kuna wenzetu wanapata na inatutia moyo bali tunaumia na ile kauli mchakato haujakamilika na hujui ipi ni nafasi yako kama msailiwa na hii ndio inaleta sintofahamu kwa sisi wasaka asali.muongozo wao wenyewe upo wazi kuwa mpaka wanaita watu kwenye usaili means kibali kimeshapita kuwa watu wanahitajika.

Ni bora kipindi kilichopita zilikuwa hazipo na zikitokea ilikuwa ni wiki mbili mpaka tatu placement tayr kuliko sasa hv tunavyofanyiwa mental torture.ipo siku kauli zao watu watazichoka.
Umeiweka vzr hasa hapo mwisho!
Knachotufanya tulalamike sana ni hii ya ushafanyiwa usaili halaf unaanza tena kusubiri hatma yako
Yaaan ni mental torture kama ulivyoisema...naona kuna wenzetu wanaichukulia kirahisi rahisi
 
Ni hivi watumishi wote lazm wahakikishe hivyo vyeti cha form 4 na 6.

Bado maswala ya kuhakikisha kama una Mkopo Helsb.

Vyeti 1000 uwapelekee NECTA warudishe majibu.. Mnafkir wanafanyia kazi watu ws TRA tu.. ?
inamaana hawajaintegrate system na heslb wala necta? mbona kasheshe sasa
 
Naunga mkono hoja, Utumishi waendelee ingawa wana mapungufu yao pia.
Ndugu hayo mapungufu unavyo yazungumza nikama ni kitu kidogo TU,
Kumbe ni majanga ,
mpaka Raisi wetu mpenda haki ameamua kuwa Sema hatharani .
Mjue mnaumiza watu wengi sana
 
Back
Top Bottom