HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
hongeraa, status ilikua inasomaje mkuu, maana nakumbuka ulisema ulichomokea kwenye data base?
Selected for oral interview
Interview Number:.....

Ilibakia hivyo baada ya oral mpaka leo...status yangu haikuwahi kupitia mabadiliko yoyote yale.

Ndiyo maana zile discussion za kuwa ili utoboe ni lazima status ibadilike badilike zilikuwa zinanipa stress kabla pdf haijatoka. Maana unasikia wadau wanasema hivi au vile halafu kwako hakuna mabadiliko yoyote.
 
Hongera sana, swali langu mm la kwanza tu nilijibu point 3 za uhakika na nikazielezea zote japo niliambiwa mention, by the time akija kustuka kusema just mention mi nishamaliza kuelezea. Ila sikuweza maliza tano zote😥😥😥😥.
Nachojua ni kuwa kwenye hizo mention five so and so...unaweza ukataja majibu mawili kwa swali..au matatu kwa swali au hata matano yote kwa maswali baadhi utakayoweza...

wao baadaye wanapiga jumla ya maksi zako..kama umevuka 50 kwa kada zetu tayari umewakanda. maana unakuta kila mention ina maksi 4. ukitaja 2 answes ni marks 8 hizo, 3 ni 12 hizo.
 
ha ha ha, nikikumbuka my moment kwenye panel..nilikuwa natumia trick moja....akishauliza swali naanza kulitafakari fasta na ku formulate majibu halafu kabla sijajibu...namuambia interviewer arudie tena swali...."please come again.."

Anapoanza kusoma tena swali...nakuwa napata wasaa wa ku process swali upya kuwa nimelisikia vyema na majibu niliyo formulate ndiyo yenyewe..then natiririka.

Kuna moja la kutaja mambo matano..mimi nikaishia kwenye mbili tu. Interviewer ananishawishi niendelee kutaja kwani hivyo vitu ni virahisi sana...wakati huo mimi majibu yamesha evaporate...ila majibu nayafahamu lakini najikuta nimesahau na siwezi ku recall pale.

Nikamchana tu interviewer kuwa hilo swali nimeishia hapo next question please...akanishawishi tena kuwa taja mbona ni rahisi! Nikamwambia i will just waste your time...hata kama ungenipa masaa sitoboi..nimestuck.

Hiyo hali ya kushindwa kujibu vipengele vyote vitano vya swali lile ilinitesa soon after oral nikawa napata hisia kuwa nimeshaharibu. Ilichukua siku kadhaa kuisha.

Ila Mungu ni mkuu...nilifaulu usaili and the rest is history.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ulijikaza kujibu hivyo uliona isiwe tabu
 
Selected for oral interview
Interview Number:.....

Ilibakia hivyo baada ya oral mpaka leo...status yangu haikuwahi kupitia mabadiliko yoyote yale.

Ndiyo maana zile discussion za kuwa ili utoboe ni lazima status ibadilike badilike zilikuwa zinanipa stress kabla pdf haijatoka. Maana unasikia wadau wanasema hivi au vile halafu kwako hakuna mabadiliko yoyote.
nimekusoma mkuu
 
ha ha ha, nikikumbuka my moment kwenye panel..nilikuwa natumia trick moja....akishauliza swali naanza kulitafakari fasta na ku formulate majibu halafu kabla sijajibu...namuambia interviewer arudie tena swali...."please come again.."

Anapoanza kusoma tena swali...nakuwa napata wasaa wa ku process swali upya kuwa nimelisikia vyema na majibu niliyo formulate ndiyo yenyewe..then natiririka.

Kuna moja la kutaja mambo matano..mimi nikaishia kwenye mbili tu. Interviewer ananishawishi niendelee kutaja kwani hivyo vitu ni virahisi sana...wakati huo mimi majibu yamesha evaporate...ila majibu nayafahamu lakini najikuta nimesahau na siwezi ku recall pale.

Nikamchana tu interviewer kuwa hilo swali nimeishia hapo next question please...akanishawishi tena kuwa taja mbona ni rahisi! Nikamwambia i will just waste your time...hata kama ungenipa masaa sitoboi..nimestuck.

Hiyo hali ya kushindwa kujibu vipengele vyote vitano vya swali lile ilinitesa soon after oral nikawa napata hisia kuwa nimeshaharibu. Ilichukua siku kadhaa kuisha.

Ila Mungu ni mkuu...nilifaulu usaili and the rest is history.
[emoji23][emoji23]kwahiyo mkuu ulijibu maswali mangapi kati ya matano?
 
Nachojua ni kuwa kwenye hizo mention five so and so...unaweza ukataja majibu mawili kwa swali..au matatu kwa swali au hata matano yote kwa maswali baadhi utakayoweza...

wao baadaye wanapiga jumla ya maksi zako..kama umevuka 50 kwa kada zetu tayari umewakanda. maana unakuta kila mention ina maksi 4. ukitaja 2 answes ni marks 8 hizo, 3 ni 12 hizo.
Kwani yale maswali uwa yako na maksi ngapi ngapi?
 
Nachojua ni kuwa kwenye hizo mention five so and so...unaweza ukataja majibu mawili kwa swali..au matatu kwa swali au hata matano yote kwa maswali baadhi utakayoweza...

wao baadaye wanapiga jumla ya maksi zako..kama umevuka 50 kwa kada zetu tayari umewakanda. maana unakuta kila mention ina maksi 4. ukitaja 2 answes ni marks 8 hizo, 3 ni 12 hizo.
Na swali la kwanza ambalo ni general uwa lina makisi au ni vipi?
 
Ni kweli lkn je placement ilikuwa na watu waliopangiwa Zanzibar

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hakuna placement inayoonesha watu kupangiwa ama Zanzibar au Bara, hili ndo tangazo la placement la kwanza.

Hili ni tundu moja wapo la upendeleo, na inawezekana baada ya propaganda ya wasailiwa wote kwenda kufanya usaili Dodoma kushinda kwa hoja ya kupunguza gharama, wakaja na altenative ya saili kikanda.
 
[emoji23][emoji23]kwahiyo mkuu ulijibu maswali mangapi kati ya matano?
Yote matano..ukitoa lile moja la background yako na work experience...mengine yote manne ilikuwa ni ku mention five components of so and so.

Katika hayo manne ni moja tu ndiyo nilijibu all five asked components. Maswali mawili niliishia kutaja mambo manne, moja 3 na moja components 2 tu.
 
ha ha ha, nikikumbuka my moment kwenye panel..nilikuwa natumia trick moja....akishauliza swali naanza kulitafakari fasta na ku formulate majibu halafu kabla sijajibu...namuambia interviewer arudie tena swali...."please come again.."

Anapoanza kusoma tena swali...nakuwa napata wasaa wa ku process swali upya kuwa nimelisikia vyema na majibu niliyo formulate ndiyo yenyewe..then natiririka.

Kuna moja la kutaja mambo matano..mimi nikaishia kwenye mbili tu. Interviewer ananishawishi niendelee kutaja kwani hivyo vitu ni virahisi sana...wakati huo mimi majibu yamesha evaporate...ila majibu nayafahamu lakini najikuta nimesahau na siwezi ku recall pale.

Nikamchana tu interviewer kuwa hilo swali nimeishia hapo next question please...akanishawishi tena kuwa taja mbona ni rahisi! Nikamwambia i will just waste your time...hata kama ungenipa masaa sitoboi..nimestuck.

Hiyo hali ya kushindwa kujibu vipengele vyote vitano vya swali lile ilinitesa soon after oral nikawa napata hisia kuwa nimeshaharibu. Ilichukua siku kadhaa kuisha.

Ila Mungu ni mkuu...nilifaulu usaili and the rest is history.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo ulikua unasema come again [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Na sio "please repeat again" ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu mbona kama kuna jambo unataka kusema, anyway, panelists wengi nao wamesoma shulenza secondary na vyuo vyetu vikuu hivi hivi vya kizalendo, tunaelewana tu na kingreza chetu cha kizalendo, na wao pengine wanabebwa kwa kuwa tu maswalu wanasoma. 🤪
 
Back
Top Bottom