HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ume
Hii sehemu ya PSRS watu tunaichukulia poa sana kwa kusema tu in easy way et kuna mchakato ilihali ni sekta iliyobeba matarajio ya asilimia 70 ya familia za watanzania.amini nawaambia kilio cha PSRS kuchelewesha mchakato wa ajira ni kikubwa zaidi kuliko kuchelewa kwa SGR wala kuzuiwa kwa mikutano ni vile tu watu wameamua kuwa wavumilivu ila uhalisia haupo hivyo.wangejua watu wanasoma hawalali na wanasafiri usiku kwa usiku na bado wanaingia kwenye mtihani asilimia kubwa hata kuoga hawajaoga na wengine wanakwea bodaboda kwa gharama kubwa,matokeo wanatoa usiku mtu anasafiri usiku kwa usiku anawahi hiyo oral then hatua ya mwisho ambayo ndio imebeba matumaini anashindwa kujua yupo nafasi gani,ni heri ajue amekosa mapema atazoea kama ambavyo huwa anakosa kwenye written na maisha yanasonga.

Its pain sana kwa mtu aliyeingia oral ila ni easy kusema kwa aliyelamba asali au ambaye hakufanya oral.
Umeongea fact sana👊 me nkitoka kwenye saili za PSRS nkirudigi home uwa kama naumwa hivi..mpaka nije nikae sawa ni week nzima
 
Hii sehemu ya PSRS watu tunaichukulia poa sana kwa kusema tu in easy way et kuna mchakato ilihali ni sekta iliyobeba matarajio ya asilimia 70 ya familia za watanzania.amini nawaambia kilio cha PSRS kuchelewesha mchakato wa ajira ni kikubwa zaidi kuliko kuchelewa kwa SGR wala kuzuiwa kwa mikutano ni vile tu watu wameamua kuwa wavumilivu ila uhalisia haupo hivyo.wangejua watu wanasoma hawalali na wanasafiri usiku kwa usiku na bado wanaingia kwenye mtihani asilimia kubwa hata kuoga hawajaoga na wengine wanakwea bodaboda kwa gharama kubwa,matokeo wanatoa usiku mtu anasafiri usiku kwa usiku anawahi hiyo oral then hatua ya mwisho ambayo ndio imebeba matumaini anashindwa kujua yupo nafasi gani,ni heri ajue amekosa mapema atazoea kama ambavyo huwa anakosa kwenye written na maisha yanasonga.

Its pain sana kwa mtu aliyeingia oral ila ni easy kusema kwa aliyelamba asali au ambaye hakufanya oral.
Raisi Samia sikia vilio vya vijana juu ya psrs, kusema za ukweli, vijana wamekata tamaa na psrs
 
Sasa hiyo ni saili 1 na watu tushapiga maktime za kutosha hyo nenda rud dom na bdo asli tunaiskia t kwenye bomba haya mambo aisee sio poa kbsa
Kweli mkuu na ndio maana kwenye utafutaji hatuumii kukosa maana tunajua kuna wenzetu wamefanikiwa ipo siku zamunyetu itafika, kinachotuuma ni ile kauli ya mchakato na mchakato usioisha, maana swala la kukosa ni lazima watu wapate na wengine wakose
 
Kweli mkuu na ndio maana kwenye utafutaji hatuumii kukosa maana tunajua kuna wenzetu wamefanikiwa ipo siku zamunyetu itafika,kinachotuuma ni ile kauli ya mchakato na mchakato usioisha.maana swala la kukosa ni lazima watu wapate na wengine wakose
Ni kweli ss unapoachwa njia panda muda mrefu pasina kujua hatma yko kw kweli maumivu ynakua ni mara 2
 
Hii sehemu ya PSRS watu tunaichukulia poa sana kwa kusema tu in easy way et kuna mchakato ilihali ni sekta iliyobeba matarajio ya asilimia 70 ya familia za watanzania.amini nawaambia kilio cha PSRS kuchelewesha mchakato wa ajira ni kikubwa zaidi kuliko kuchelewa kwa SGR wala kuzuiwa kwa mikutano ni vile tu watu wameamua kuwa wavumilivu ila uhalisia haupo hivyo.wangejua watu wanasoma hawalali na wanasafiri usiku kwa usiku na bado wanaingia kwenye mtihani asilimia kubwa hata kuoga hawajaoga na wengine wanakwea bodaboda kwa gharama kubwa,matokeo wanatoa usiku mtu anasafiri usiku kwa usiku anawahi hiyo oral then hatua ya mwisho ambayo ndio imebeba matumaini anashindwa kujua yupo nafasi gani,ni heri ajue amekosa mapema atazoea kama ambavyo huwa anakosa kwenye written na maisha yanasonga.

Its pain sana kwa mtu aliyeingia oral ila ni easy kusema kwa aliyelamba asali au ambaye hakufanya oral.
Raisi Samia akiruhusu taasisi na mashirika yafanye usaili. Kijana wangu utapata asali mapema sana.
Utakuwa unajichagulia wapi pa kwenda
 
Hii sehemu ya PSRS watu tunaichukulia poa sana kwa kusema tu in easy way et kuna mchakato ilihali ni sekta iliyobeba matarajio ya asilimia 70 ya familia za watanzania.amini nawaambia kilio cha PSRS kuchelewesha mchakato wa ajira ni kikubwa zaidi kuliko kuchelewa kwa SGR wala kuzuiwa kwa mikutano ni vile tu watu wameamua kuwa wavumilivu ila uhalisia haupo hivyo.wangejua watu wanasoma hawalali na wanasafiri usiku kwa usiku na bado wanaingia kwenye mtihani asilimia kubwa hata kuoga hawajaoga na wengine wanakwea bodaboda kwa gharama kubwa,matokeo wanatoa usiku mtu anasafiri usiku kwa usiku anawahi hiyo oral then hatua ya mwisho ambayo ndio imebeba matumaini anashindwa kujua yupo nafasi gani,ni heri ajue amekosa mapema atazoea kama ambavyo huwa anakosa kwenye written na maisha yanasonga.

Its pain sana kwa mtu aliyeingia oral ila ni easy kusema kwa aliyelamba asali au ambaye hakufanya oral.
Sekretarieti ya Ajira
 
Na viongozi wenye dhamana waache kutoa matamko kila wajisikiapo tu maana kudanganya uma napo sio vizuri,mfano tu kulikuwa na umuhimu gani wa kusema wataajiri watu 1760 kupitia Database mwezi wa pili then wasifanye hivyi na wasitoe taarifa yoyote..kwani wangetulia tu wasaka asali hata wasingelalamika maana wasingejua kuna nafasi...maana ile kauli nayo imeleta shida kwa jamii na wao wamekausha tu
 
Hii sehemu ya PSRS watu tunaichukulia poa sana kwa kusema tu in easy way et kuna mchakato ilihali ni sekta iliyobeba matarajio ya asilimia 70 ya familia za watanzania.amini nawaambia kilio cha PSRS kuchelewesha mchakato wa ajira ni kikubwa zaidi kuliko kuchelewa kwa SGR wala kuzuiwa kwa mikutano ni vile tu watu wameamua kuwa wavumilivu ila uhalisia haupo hivyo.wangejua watu wanasoma hawalali na wanasafiri usiku kwa usiku na bado wanaingia kwenye mtihani asilimia kubwa hata kuoga hawajaoga na wengine wanakwea bodaboda kwa gharama kubwa,matokeo wanatoa usiku mtu anasafiri usiku kwa usiku anawahi hiyo oral then hatua ya mwisho ambayo ndio imebeba matumaini anashindwa kujua yupo nafasi gani,ni heri ajue amekosa mapema atazoea kama ambavyo huwa anakosa kwenye written na maisha yanasonga.

Its pain sana kwa mtu aliyeingia oral ila ni easy kusema kwa aliyelamba asali au ambaye hakufanya oral.
Sekretarieti ya Ajira
 
Kitu ambacho binafsi naona kinahitaji maboresho ni muda wa kutoa placements uwe mfupi na haraka tangu usaili wa mahojiano kufanyika.

Mtu kusubiria placements miezi mitatu na kuendelea siyo fair. Nadhani ile sheria inayoongoza sekretariat ya ajira ifanyiwe marekebisho iseme kabisa kuwa placements zitatolewa mfano ndani ya siku 30 baada ya oral interview.

Ili kama kuna michakato ya ndani huko serikalini wakimbizane ndani ya hizo siku 30 watu waripoti kwa waajiri.
 
Kufa kwa sekta binafsi kunachochea sana hili swala la upungufu ama ukosefu ajira ingawa c asilimia zte. Sekta binafsi ipo ktk Hali mbaya sana.

Yote kwa yote wafanyakazi wa utumishi wanaosimamia michakato ya ajira ni wachache sana....HAWATOSHI.

Tutalaumu Kila siku
 
Wabakie tu sema waongeze ufanisi wko slow sana hakika...haiwezkn post 1 inachukua mieiz mpk 8 kukamilika mchakto IT IS NOT FAIR kwa kweli
Sio Miezi 8 tu Mkuu zingine Hadi mwaka, Mfano ya TRA imechukua mwaka, mana nafasi zilitangazwa mwaka Jana mwezi wa tatu interview ya oral watu wamekuja kuitwa mwaka huu na bado tu Mchakato hujakamilika, kweli Ajira ni mchakato.. just imagine
 
Back
Top Bottom