HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sidhan kama zipo maana kwa wasaka mrija wa asali ingekuwa hivyo nadhan kuna watu wangetumia gharama yoyote kulamaba asali kwa njia ya panya.
Japo ni kweli pale utumishi kuna muda unafikiria ni kama wamezipa shimo la panya kwa mkate.
Hilo tatizo haliwezi kumalizwa, linapunguzwa tu kwa asilimia kubwa mnoo.
 
Utumishi wana mapungufu ila kurudisha ajira kwenye taasisi is a big mistake.

Mfano, taasisi nyingi zinaajiri on contractual terms kwa kutumia bajeti za ndani na asili wanafanya wenyewe kila leo lakini nani humu amepata??

TBS wanatoa internship kila mwaka, nani amepata humu??

Acheni utumishi waendelee na hiyo kazi. Hata kama huna connection, kunachokubeba ni uwezo wakoView attachment 2535523
Vijana wenye wenge na njaa kali ya asali wanataka mfumo wa ukiritimba, rushwa na nepotism katika kuajiri serikalini urudishwe , heheee😃😃😃😃, jobless ni mtu desperate mpaka uwezo wa kufikiri unapotea. Mnataka vimbwanga vya private sectors virudishwe na huko serikalini au sio?

Kuna jobless yoyote humu alishawahi omba ajira private sector nchi hii? Au mfano hizi za majeshi tu na vyombo vya usalama? Magumashi yaliyopo kwenye kuajiri huko 🙈🙈🙈🙈 Mnataka ile kauli mbinu ya kamlete au sio?

Cha muhimu utumishi waongeze ufanisi katika utendaji wao wa kazi na mifumo, basi.
 
navyojua Mwajiri ana uhitaji ndio maana akapeleka uhitaji wa watu pale.
Mkuu kama shida ingekuwa ipo utumishi, basi baada ya utumishi kutoa placements za TRA, waliopata TRA wangekuwa wameshaenda induction na kuanza mafunzo Lakin sahiv wik ya 3 hakuna induction.. Mi naona shida ipo kwa waajiri wenyewe. Kama kweli wangekuwa na uhitaji wa haraka kiasi hicho, wasingejivuta!!
 
Mkuu kama shida ingekuwa ipo utumishi, basi baada ya utumishi kutoa placements za TRA, waliopata TRA wangekuwa wameshaenda induction na kuanza mafunzo Lakin sahiv wik ya 3 hakuna induction.. Mi naona shida ipo kwa waajiri wenyewe. Kama kweli wangekuwa na uhitaji wa haraka kiasi hicho, wasingejivuta!!
TRA bado kunauwitaji mkubwa wa wafanyakazi unaonekana baadhi ya maeneo yao ya kazi....bajeti ya ajira ya 2022/2023 bado hawajaajiri na mwaka unakata mwenzi wa saba....watu walio soma Quba wanaelewa
 
Hakuna database huo ndo ukweli. Kama kuna anayefahamu Yuko database aje hapa atoe evidence kuwa Yuko kanzidata.
Umegusia hoja mbili kwa wakati mmoja.
1. Kuwa hakuna database
2. Hakuna anayejua kama yupo database

While hoja ya 2 ni kweli kuwa hakuna anayejua kama yupo database...ila hoja ya 1 si ya kweli kwa maana database (kanzi data) ipo na wengi tu wameshaajiriwa toka huko.

Yaani ile unapata taarifa kuwa umepangwa taasisi fulani na hukuwahi kuomba kazi taasisi hiyo wala kufanya usaili wao. Au ukaitwa taasisi uliyofanyia usaili baada ya muda kupita wenzako wakiwa wamesharipoti makazini..Jambo hili ni la kweli wala halihitaji mabishano
 
Mkuu kama shida ingekuwa ipo utumishi, basi baada ya utumishi kutoa placements za TRA, waliopata TRA wangekuwa wameshaenda induction na kuanza mafunzo Lakin sahiv wik ya 3 hakuna induction.. Mi naona shida ipo kwa waajiri wenyewe. Kama kweli wangekuwa na uhitaji wa haraka kiasi hicho, wasingejivuta!!
Hivi uhitaji wa hao "ajira mpya" unaupima kwa vigezo gani ndugu zetu? Yaani taasisi ikae na kuona kuna haja ya kuongeza watu, waombe na kibali, halafu mnakuja hapa na kusema, "hawana uhitaji wa haraka".
 
labda ulikua na miaka mingapi wakat wa jk mana kulalamika watanzania hata kipindi cha jk watu walisema hela zimeshikiliwa na mafisadi

hata kusu maisha magumu watu wameanza kulalamika tangu enzi za jk

sema huwa tunasahau mapema sana binadamu
Utumishi wameelemewa na mzigo wa majukumu.
Na ndio maana tunataka taasisi na mashirika wafanye saili wenyewe..

Wala amtapoteza muda wakuja huku kujitetea
 
sasa utumishi wanatumia kanuni na taratibu za utumishi wwnunataka tutumie udugu urafiki na mahaba katika kupata kazi huoni ww hapo kihojiwa umewapataje watumishi unatakoswa majibu

wakativutumishi akiulizwa atasema ameita watu usaili wa mchujo waliofaulu wameingia usali wa mahojiano na waliofaulu pia ndio wakapangiwa vituo vya kazi?
We Mzee upo kwenye system lakini bado unajizima data. Haya mambo unayosema bado yanafanyika utumishi na amna kitu mnaweza fanya.

Tunacholala SS ni bureaucracy ya utumishi .
Kwa kuwa wameelemewa na mzigo mkubwa wa majukumu, kwa sababu utumishi wenyewe Wana upungufu wa wafanyakazi.

Na ndio maana tunataka taasisi na mashirika wafanye saili wenyewe.ili kupunguza workload utumishi,
 
Back
Top Bottom