HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Haya nenda page ya TRA Fuata hayo maelekezo alafu urudi tena hapa.
Screenshot_20230312_115640.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshahara wa mwalimu ni mdogo ukilinganisha na nani?
Mkianza kazi halmashauri/wizarani/taasisi zote zenye scale ya TGS kwa fani zote za degree ya miaka 3 zisizo za science mwalimu anawazidi mshahara.
Mfano:
1. Afisa hesabu, mchumi, HR-TGS D=710000
2. Mwalimu TGTS D-716000
Anawazidi kwa elfu 6.
Walimu wa science wanaanza na TGTS D3 wapo kwenye 805,000/=
 
Hili suala la kusbria muda mrefu linaumiz sn vjna bs tu...tok unapply kz mpk unaitwa kzn almost mwaka na hiyo ni kz moja ss si tutazeeka aisee tunahangaikia kz t za utumishi
Ndo hvyo Mkuu, psrs wanafanya mtu akiulizwa anafanya Kazi Gani, ajibu anafanya Kazi ya kutafuta Kazi,. Mana kutafuta Kazi kupitia psrs ni Kazi tosha!! Unaweza malizia hadi mwaka na zaidi
 
Back
Top Bottom