Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,613
Kapambane mkuu
Kapambane mkuu
Tutafanyeje sasa na nauli za interview tena hatunanimechungulia bdo ngoma ngumu , kutegemea database ambayo hujui umo ama haumo inahitaji moyo sana wakuu
ukweli mtupu mkuu, mm na received nyingine 3 sahizi. hapa nilipo buku tu mtiti how can i afford funding interview process again! kweli ajira kiiza kinene bongo,ukipata mshukuru aliye juu JAHTutafanyeje sasa na nauli za interview tena hatuna
Linakuja mkuu tuendlee kuvuta subranimechungulia bdo ngoma ngumu , kutegemea database ambayo hujui umo ama haumo inahitaji moyo sana wakuu
Hawa jamaa wana hela ndefu, kwanza wanalipwa kwa dolaWakuu nani anafahamu mishahara na allowance za MDH kwa kada ya DATA Officer.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kongole kwao waliolba mrija wa asali....naona kuna wana wa database hapo wamechomekwa...mambo mazuri yanakujaWazee make mpya umetoka now
Taasisi gani hiyo Mkuu. Unayosubiri?Hakuna aliepigiwa simu jamani uko ?? , isije ikawa tuna barua halafu simu zina ita kwengine ! ,
Weka tuoneWazee make mpya umetoka now
Tra kakaTaasisi gani hiyo Mkuu. Unayosubiri?
kweli asee nmeona jamaa angu kapata TGDC position ya uhandisi hongera zake sana sijui kama yumo humu lknWazee make mpya umetoka now
Ata mimi nasubiri hyo kaka, hamna kitu kigumu kama kusubir kitu usichojua ni lini, yaan shida tupu!! Bora mtu akwambie mwezi wa sita au wa tano, kuliko kutokutaja na usubir simu!!Tra kaka
Haloo naonaga magari yao tuHawa jamaa wana hela ndefu, kwanza wanalipwa kwa dola
nimeanza kuwa na ukakasi na mkeka wa data base aiseeh!Kongole kwao waliolba mrija wa asali....naona kuna wana wa database hapo wamechomekwa...mambo mazuri yanakuja
We still have tomorrow lets wait.nimeanza kuwa na ukakasi na mkeka wa data base aiseeh!
Anaweza kujita anasahau alipotokea siyo. @Yakule Kila la heri mkuu ukawe Mtumishi Bora.Ahsante sana kaka ukawe mtumishi mwema uko uendako ukikutana na vijana wanaojitolea ofisini kwako wapende wabebe usiwaone wazembe wape moyo yale maneno ya kajiajiri msiwaambie
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app