HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kama masihara sku ya tisa ya mwezi Machi sasa no PDF ya kueleweka
Aiseeee shughuli tunayo
Ngoja niangalie kama washaniwekea NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW Nijue moja tu niendelee na mambo mengne
 
Kama masihara sku ya tisa ya mwezi Machi sasa no PDF ya kueleweka
Aiseeee shughuli tunayo
Ngoja niangalie kama washaniwekea NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW Nijue moja tu niendelee na mambo mengne
Dah Mimi nipo hapa SUA,OUT,ARIMO,MoCu,TMC, RUWASA....Sijui nani mwingine nimesahau November 28-December 01/2022 PDF la placements hizi Taasisi
 
Back
Top Bottom