Mkuu acha kujidangany'a kichapo watakachokipata Iran kitakuwa cha kihistoria, silaha na mbinu za kijeshi zitakazotumika hapo si hizi tulizozoea kuziona huko afghanstan,palestine,iraq,lebanon,n.k
Lazima kitakuwa kichapo ch aibu, maneno ya ahmad yanatatokea puani.
Sitoshangaa sana, huenda ikawa...