Ramani za nyumba/ Architect available

MADAI

Member
Sep 7, 2009
11
1
Tunachora ramani za nyumba aina zote.
Mfano; Residential Houses, Hotels, Resorts, Comercial Residentail (mix use development) na Office Buildings.
Pia tunafanya interior Design na Landscape Design.
architectmadai@yahoo.com
 
Last edited:
weka sample tafadhali

Asante kwa mawazo.
Kuweka sample ni sawa ila nitaweka muda si mrefu.

Kufungua website kwa sasa sitaweza maana ndo nimeanza nguvu ni ndogo.
Bila shaka unaelewa kwa hapo.
 
Asante kwa mawazo.
Kuweka sample ni sawa ila nitaweka muda si mrefu.

Kufungua website kwa sasa sitaweza maana ndo nimeanza nguvu ni ndogo.
Bila shaka unaelewa kwa hapo.

Mkuu safi sana, umeonesha ulivyo na akili
Mimi nina vijana wangu watakusaidia kutengeneza website bure,lakini wewe itakupasa ulipie gharama za kurun web yako,sasa sijui kama utaweza.
 
weka mkuu kuna watu tunahitaji sana hio huduma pamoja na wakandarasi..biashara ya kujibizana na ndugu na ktumiwa picha ya nyumba ya jirani hatuitaki.kula tano.
 
weka mkuu kuna watu tunahitaji sana hio huduma pamoja na wakandarasi..biashara ya kujibizana na ndugu na ktumiwa picha ya nyumba ya jirani hatuitaki.kula tano.

Poa,
Tuombe uzima. Sample sio nzuri kwa vile utapewa Ramani ya nyumba ya Jirani. Mimi napenda tufanye Design kwa kushirikiana.
mimi nitaweka mawazo yako ktk karatasi (Michoro). Hii itaepusha kupewa ramani zenye kufanana.
 
Mkuu safi sana, umeonesha ulivyo na akili
Mimi nina vijana wangu watakusaidia kutengeneza website bure,lakini wewe itakupasa ulipie gharama za kurun web yako,sasa sijui kama utaweza.

Asante mkuu,
nafikiri nikiweka hapa ktk jamiiForums ndio kuna watu wengi wataona na kutoa changamoto zaidi.
Au ...
architectmadai@yahoo.com
 
Last edited:
Yeah mkuu ndo ujasilia mali huo hivyo hivyo haba na haba hujaza kibaba.
 
Tunachora ramani za nyumba aina zote.
Mfano; Residential Houses, Hotels, Resorts, Comercial Residentail (mix use development) na Office Buildings.
Pia tunafanya interior Design na Landscape Design.
architectmadai@yahoo.com
mimi swali langu siku zote ni kwenu nyie mnaotumia JF kujinufaisha kwa kuweka matangazo..well and good! lakini hivi huwa mnaichangia JF kwa michango?au mnaitumia tu?
 
Asante kwa mawazo.
Kuweka sample ni sawa ila nitaweka muda si mrefu.

Kufungua website kwa sasa sitaweza maana ndo nimeanza nguvu ni ndogo.
Bila shaka unaelewa kwa hapo.
ku host website kwa mwaka sio bei mbaya
angalia hii site binafsi nimeshaitumia
http://www.orchardhosting.com/
bei zinaanzia 20,000 ya TZ na kuendelea kwa mwaka

pia unaweza ukaongea na invisible, na dhani anaweza kukuhostia kama mkielewana

watu wengi wa ngambo wanaliwa sana TZ, ukiwa mwaminifu na ukaondoa uwongo wa wazee basi utafanikiwa tuu....
uwaminifu ni kitu muhimu sana
 
Nashukuru kwa ushauri.
Nitafuatilia mawazo yote niliyopata.
Asante.
architectmadai@yahoo.com
 
MKUU,UMESAJULIWA KWA MUJIBU WA SHERIA NO.16 YA MWAKA 1997? NAOMBA USOME KIFUNGU CHA 83(e) CHA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2000 ZA SHERIA HIYO.

KAZI NJEMA.
 
Afadhali sasa watu tusije jenga nymba ambazo hazina ramani kutokana na usumbufu unaopatikana kwa hawa jamaa wengine wanaofanya kazi hii, Big up. Gharama zako zinaanzia sh. ngapi maana lazima utakua na gharama kichwani. Pia weka na mwasiliano yako hapa ili iwe rahisi wanaokuhitaji kukupata
 
MKUU,UMESAJULIWA KWA MUJIBU WA SHERIA NO.16 YA MWAKA 1997? NAOMBA USOME KIFUNGU CHA 83(e) CHA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2000 ZA SHERIA HIYO.

KAZI NJEMA.

Asante Mr. architect, Rugas
Nimesoma vifungu tajwa hapo juu.
Nimekuelewa..

Ila ukichunguza katika majarida yote ya Construction utaona mengi na Utanielewa maana kuna vya kujifunza.
architectmadai@yahoo.com
Sheria ipo na nimekuelewa.
 
mimi swali langu siku zote ni kwenu nyie mnaotumia JF kujinufaisha kwa kuweka matangazo..well and good! lakini hivi huwa mnaichangia JF kwa michango?au mnaitumia tu?
Very good question tukumbuke "No free lunch"..., embu tukumbushane namna ya kuchangia maana najisikia vibaya ninavyoitumia JF bila ya kutoa chochote.

Nafikiri wakati umefika sasa kwa matangazo kulipiwa tusidanganyane wengine wanafaidi kwa migongo ya watu bila ya kujali wanatumia garama huu nao ni UFISADI ati...!
 
Asante Mr. architect, Rugas
Nimesoma vifungu tajwa hapo juu.
Nimekuelewa..

Ila ukichunguza katika majarida yote ya Construction utaona mengi na Utanielewa maana kuna vya kujifunza.
architectmadai@yahoo.com
Sheria ipo na nimekuelewa.

hao nao wanaojitangaza katika majarida hayo wanavunja sheria...Zipo njia nzuri tu za kujitangaza....Biashara ni matangazo,lakini,just imagine hapa mtu anaanza kukuuliza bei ya kuchora,utafikiri kuna kipimo.Akiuliza bei mwambie 6% of construction cost,uone anavyotoka mita.Ni tatizo pia....hebu ni pm tukae km kamati.
 
Poa,
Tuombe uzima. Sample sio nzuri kwa vile utapewa Ramani ya nyumba ya Jirani. Mimi napenda tufanye Design kwa kushirikiana.
mimi nitaweka mawazo yako ktk karatasi (Michoro). Hii itaepusha kupewa ramani zenye kufanana.
Mkuu mimi nakuunga mkono moja kwa moja nina eneo langu huko kibaha pwani naomba namba yako ili tuwasiliane siku moja nikupeleke uangalie namna ambavyo unaweza kunicholea mjengo wa kukakaa katika eneo hilo ukawatisha walio tangulia namba yangu ni 0715972970 nipe yakwako tuchape kazi
 
Back
Top Bottom