...Israel Appears Ready For Strike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

...Israel Appears Ready For Strike

Discussion in 'International Forum' started by X-PASTER, Sep 15, 2009.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Sep 15, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  ANALYSIS / Clock Ticking For Iran As Israel Appears Ready For Strike  In the rare moments when it's not preoccupied with the decline of U.S. President Barack Obama in the polls and with the debate over its government's proposed health-care reforms, the American press continues to deal almost obsessively with another pressing issue: the deadlock in efforts to stop Iran's nuclear program and the growing likelihood that the endgame will be an Israeli attack on Iran's nuclear facilities.

  In the past few weeks alone, an editorial in The Wall Street Journal warned the president that the United States must put a quick halt to the Iranian nuclear program, because otherwise Israel will bomb the facilities.

  "An Israeli strike on Iran would be the most dangerous foreign policy issue President Obama could face," the paper wrote.  Former vice president Dick Cheney revealed that while in office he supported an American strike against Iran, but was compelled to accept the approach of president George W. Bush, who preferred the diplomatic route.

  Another Republican ultra-hawk, former ambassador to the United Nations John Bolton, maintains that additional sanctions alone will not be enough to make the Iranians abandon their nuclear ambitions. William Cohen, who served as secretary of defense during Bill Clinton's second presidential term (1997-2001), says that "there is a countdown taking place" and that Israel "is not going to sit indifferently on the sidelines and watch Iran continue on its way toward a nuclear-weapons capability."

  The chairman of the U.S. Joint Chiefs of Staff, Adm. Mike Mullen, explains that "a very narrow window" exists between the possibility of resolving the issue and an attack on Iran.

  An op-ed in The Los Angeles Times states (with some justification) that if Iran does not respond in September to the demands made of it, the world should brace itself for an Israeli attack. However, the author adds (mistakenly) that in the event of an Israeli strike, Obama "will probably learn of the operation from CNN rather than the CIA."

  This month will mark a critical juncture in Iran's race for nuclear capability. The timetable is getting ever shorter: Most Western intelligence services share the assessment that over the course of 2010, Iran will accumulate sufficient fissionable material to produce two or three nuclear bombs. If the Iranians succeed in dispersing this material among a large number of secret sites, it will reduce the likelihood that the project can be stopped.

  Even though Obama has now been in office for seven and a half months, Tehran has not responded to his offer to engage in direct dialogue about the nuclear issue.

  At first the talks were deferred in anticipation of the Iranian presidential elections in June, then because of the internal crisis that erupted there in their wake, and now the regime is engaging in additional - and typical - delay tactics. Last week, for the first time, Tehran announced readiness in principle to conduct negotiations with the international community. Read More
   
 2. E

  EvanMakundi Member

  #2
  Sep 16, 2009
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  The Air strike on Iranian nuclear facility would be the best way to deal with hard headed fanatics like Ahmedinajad. It also would help reduce number of innocent life that will be lost if Iran is left to acquire nuclear bomb.
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Sep 16, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Amani ya Mashariki ya Kati ngumu sana kupatikana!
   
 4. s

  shabanimzungu Senior Member

  #4
  Sep 16, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Isreal cannot do adamn thing!
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Sep 16, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mimi naona uwezekano upo kwa kuwa wamewahi kupiga maeneo yaliyosadikiwa kuwa ni nuclear facilities huko Iraq mwanzoni mwa miaka ya themanini na vilevile waliwahi kufanya hivyo kwa upande wa Syria!
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,321
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Never underestimate the thinking of Israel. Few weeks ago they intercepted a vessel with weapons coming from Ruassia destined to Iran. What do you think makes it impossible to hit strategic areas in Iran? Wise people pray these sort of problems shouldn't happen. Betting could mean nothing if the willingness to do so is there.
   
 7. m

  mdini Member

  #7
  Sep 16, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii vita iitauwa wengi pia.

  Lakini tatizoni udini....udini....

  Iran wanataka kuondoa israel ktk uso wa dunia.

  Israel nae anajipanga kujibu swali.

  Me ni mtazamaji tuu.
   
 8. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  If Israel strike Iran, utakuwa ni uamuzi ambao costs will exceed benefits. Obama hawezi kuacha Israel iangamizwe ni lazima Israel wawanotify Washington kwanza kwa uamuzi wowote wa maangamizi ya innocent people. Irani haita kaa kimya, there'll be consequences in that path. Afghanistan inaendelea kuwa mwiba kwao USA will not persue that path unless it is the last option after all efforts have been exhausted.

  Hii ni pressure ya kuwafanya Iran wasijione kama wana upper hand. Ni lazima warudi mezani vinginevyo USA inakusanya support ya kuonekana kuwa imereach to Iran without success.
   
 9. m

  mdini Member

  #9
  Sep 16, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu acha kujidangany'a kichapo watakachokipata Iran kitakuwa cha kihistoria, silaha na mbinu za kijeshi zitakazotumika hapo si hizi tulizozoea kuziona huko afghanstan,palestine,iraq,lebanon,n.k

  Lazima kitakuwa kichapo ch aibu, maneno ya ahmad yanatatokea puani.

  Sitoshangaa sana, huenda ikawa WW3(Africa is excluded).
   
 10. N

  Namtih58 JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 236
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nani anakumbuka tulipoambiwa eti Iraq wana WMD! Hivi leo swali ni tuwaamini wanao sema hawa watu wanataka ku-make makombora, ama tuwaamini wanao sema vingine?
   
 11. m

  mdini Member

  #11
  Sep 16, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Who cares!!

  Unajua waarabu wanafanya dini mwamvuli kufanya uozo wao.

  Go on Israel.
   
 12. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,321
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  It looks like killing each other has become a lucrative business to some people in the west these days. They can do anything to create wars.
   
 13. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2009
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Mkuu wangu Mdini Africa lazima itashirikishwa.
  Umesahau Mwenyekiti wa AU Col M Gadafi na maagizo yake ya kuzitaka nchi zote za kiafrika zivunje uhusiana na Israel.Haya ni maaandalizi ya mwanzo tu na usidhani haya mambo yanatokea kwa bahati lahasha Africa tutabaki ni kabila la kuburuzwa siku zote.Sijui tuna laana au dhambi gani tumemkosea mwenyezi mungu.Umaskini,njaa,maradhi,ufisadi wote wetu na sasa tujiandae kutumika kwa faida ya waarabu.

  Natamani sana waafrika tukae mbali sana na hawa waarabu lakini sioni dalili za kujiondoa kwenye makucha ya waarabu na mafuta yao.
   
 14. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #14
  Sep 16, 2009
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Sahau vita!!!!

  Wapenda vita utawasikia tuu, mdini hii sio sawa na filamu za akina Swaziniga hapa unaongelea Israel, Marekani na upande wa pili Irani ya leo, Korea kaskazini na Urusi etc. Pia kuna baadhi ya mataifa ambayo yatahusika lakini kwa kujifichaficha hii sio vita ndogo hivyo basi Israel haiwezi kushambulia kienyeji-enyeji tu kama ilivyokuwa ikifanya huko nyuma bila dada-Marekani kuwakubalia kufanya hivyo. Na unamjua Obama hapendi mambo ya vita!
  AMANI IWE KWENU
   
 15. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #15
  Sep 16, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
 16. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #16
  Sep 16, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  nadhani vita ya duniani inanukia vile
   
 17. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #17
  Sep 17, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Waswahili wanasema:
  Kumpiga chura teke si kumuuwa, bali kumuongezea mwendo.


  Sisi yetu macho...!
   
 18. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #18
  Sep 17, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Huyo chura ni Iran au Isreli?
   
 19. M

  Magezi JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  For now they know even if they ask for permission obama will definitely refuse so that's why Israelis will press on to strike the targets in Iran. For Africa we should get ready for the war as well because most african countries supports the Israelis.

  There is no worry about Libya, libyans does not know how to fight despite their possession of good weaponry. The Israel bases in Kenya and SA are enough to destroy libya.
   
 20. Nostradamus

  Nostradamus JF-Expert Member

  #20
  Sep 17, 2009
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shame on you man!!!!!,unashabikia ujinga huku ukidhani kwamba wale wasioamini katika imani yako basi wanastahili kufa.kumbuka nguvu za kijeshi walizonazo mataifa ni kwa ajili ya maangamizi ya watu,tena mbaya zaidi wahanga huwa ni maskini wasio na hatia.Siungi mkono Iran kuwa na silaha za nyuklia,lakini ningeona maana zaidi kama wanomzuia kuwa na silaha hizi nao wangekuwa hawana nyuklia.AMERICA(USA),ISRAEL.UNITED KINGDOM,FRANCE.GERMAN AND CHINA.zoote hizo zina silaha za nyuklia lakini ni wao ndio wabeba bango wakubwa dhidi ya mwenzao Iran kumiliki kile ambacho wao wanacho,.
  Kumbuka.NYUKLIA ni technology ya juu kabisa kupata kutokea duniani.Ni teknologia mkombozi kwa nchi husika kwani hutoa fursa ya kupata nishati ya uhakika bila kuharibu mazingira.Mataifa yaliyopiga hatua kubwa kiuchumi na technology hayataki kuona wengine wakijikomboa,kwani wanajua ukombozi wa kiuchumi huwa ni ukombozi wa kifikra na ukijikomboa kifikra basi hutaweza kuvumilia ukoloni.
  Iran hata kama inaongozwa na wendawazimu, haiwezi kuweka rehani uhai wa taifa lao eti tu kwa kujifurahisha kwa kuishambulia israel.huku ikijua dunia nzima itakuwa against nao.wao wanatafuta technology ya nyuklia kwa matumizi ya kiraia(mohammed albaradei kathibitisha hilo)
  Nawapa pole wote wenye fikra za kitumwa mnaoamini maendeleo yataletwa na wageni bila nyinyi wenyewe kujituma kama walivyofanya wachina na wahindi na sasa wanavyofanya wairani.
   
Loading...