Watalii kutokuja tena Tanzania?

Acheni kuleta mambo ya kidini hapa ama kushindana kuwa mtalii ni nani,
hii ni ishu ya Taifa na haijalishi anayesemwa ni mzungu ama mwalabu
kama mtu yeyote anajaribu kuleta mambo yasiyokubalika lazima apingwe kwa nguvu moja na sio kuanza kutetea upumbavu unaoteketekeza nchi eti kwa sababu ni watu wa Imani sawa na wewe. Nchi yako inabidi iwe ya kwanza
Hawa hawa (namaanisha wazungu na waraabu) ndio waliotesa babu zetu miaka hiyo ya nyuma na bado kuna watu walikuwa wakiona ni sawa tu kutokana na kuwa wao ndio walikuwa wanawasaidia hawa watu katika kukamilisha mambo yao.

Na hii ndio naona inajitokeza tena hapa, ni ukweli ulio wazi kuwa hawa jamaa wameshajikatia kasehemu ka Tanzania huko porini na wamejimilikisha na wanazidi kujupanua kila siku zinavyozidi kwenda.
Tusiburi mpaka wajukuu na vitukuu vyetu kuja kuanza kusoma kwenye historia tena ujinga huu unaendelea kufanyika sasa kama sisi tulivyosoma kuhusu mambo ya utumwa.

Ni suala letu sote tukemee na kuchukua hatua kuhusu hili na sio kuanza kuanza kuleta habari za kusadikika..eti kama wangekuwa wazungu? sijui kama angekuwa Obama? acheni hizo waarabu wapo tayari porini jadili namna ya kufanya
 
GT wewe ni ndezi period
Hoja zako nyingi zinalenga kuponda viongozi wakrsitu au wasio waislamu.
Uwepo wa waarabu ktk mbuga zetu as if wako public toilet za Dubai si jambo la kutetea hata kidogo.Athari za uwepo wapo wote tumeziona na tunazidi kuzishuhudia.

Wakristu wenzangu fungueni macho,musilamu si mwenzako,si ndugu yako hata kama ni wa nchi yako, nimeishi nchi mbalimbali na kuona waislamu wa madhehebu yote,hawana upendo kabisa na wakrsitu,akilini mwao wanatuona kama maaadui wakubwa sana.

Hata viongozi hawa waislamu wanaotuongoza sumu ileile ya ubaguzi hasa ubaguzi zidi ya wakrisitu haipotei toka rohoni mwao. Ni jambo lamsingi kwa wakrsitu wenzangu kutopoteza muda wenu kwa waislamu,hususani uchaguzi ujao. Hata kama JK na waislamu wengine watashinda,BUT tusimpe muislamu yeyote yule kura zetu, ni heri tusipige kura kabisa kuliko kuwapigia waislamu.

Narudia tena wakristu tuwe makini na hii dini ya kiibilisi.
 
Ndugu discuss hoja ilyoletwa mambo ya ukristo na uslam weka pembeni

Fundi amejaribu kujibu hoja za huyu bwana eddy na GT kwasababu wao ndio
wameanza wenyewe kuingiza mambo ya udini.

Mimi ni mmisheni lakini huwezi kuniambia eti nimpigie kura mmisheni mwenzangu hata kama naona ni fisadi, asiye mpenda haki na wala hana
vigezo kisa tu mmisheni. Nitampigia kura yoyote bila kujali dini iwapo atakuwa mzalendo na anavigezo vinavyohitajika.

Ndugu unavyojaribu kukaanga sumu kuwa muislam si mwenzako ni hatari sana.....
 
Kazi kweli nani kazungumzia mambo ya dini hapa?kwani waarabu wakisemwa mnakimbilia kuwa dini ya kiislamu inasemwa hapa tunazungumzia maliasili yetu inavyofujwa kwa hiyo suala la udini halipo,kama unataka kuzungumzia udini hapo sipo ,watu wasisemwe kwa kuogopa dini zao eti hapo ndipo kizazi cha sasa cha wa TZ kilipofika hatufikiri mambo ya maana bila kuingiza udini hatufiki kwa njia hiyo
 
Huu ni mfano mzuri sana na ni lazima kupata fundisho kwa wote, hizo dini zote mbili zililetwa na wakoloni walio tutawala kibabe, leo hii tumebaki kutofautiana kutokana na hizo dini zao. Je uchaguzi unahusiana nini na hii mada? Na dini inahusiana nini na watalii? Mliyaona ya rwanda, sasa kuna baadhi ya wapuuzi hapa wanataka kuyaleta Tanzania.
Moderator,hii topic inakwenda kubaya, ni bora uishugulikie haraka sana lasivyo JF itapoteza heshima yake.
 
wewe acha hizo kila mtu ana haki ya kusema lakini sio kuvunja sheria mimi nimeweka hii mada kutetea Mbuga zetu, Narudia tena kuwahakikishia kama huu unaofanywa na Maarabu sio ustaarabu wasi take advantage kwasababu ya uroho wa viongozi wetu maana hawa watu sio wastaarabu maana hawawezi kuanza kuharibu mazingira kwa maksudi kisa tu wanatoa vipesa vyao mbona wengine wako hapa hapa ambao ni wageni lakini wanatunza mazingira vizuri.
Anyway their are so special tusiwaseme wateule hapo tungekuwa tunasema wazungu aaah roho zenu nyeupe kuwasema hawa waharibifu wa mazingira mnakuja juu ,haya ngoja tuwaache wafanye wanalotaka.
Mbuga ni sehemu nyetii sana ni kama zaidi ya kile mlichokuwa mnafikilia .
 
Wadugu nashukuru kwa maoni yenu,LAKINI mtazamo wangu juu ya waislamu hautobadilika kamwe,nina udhoefu wa kutosha juu ya hawa watu.

Ikiwa wewe mkristu mwenzangu huamini,uhuru ni wako,ukipenda kujishebedua kwa waislamu matunda yake utayaona,siku ukibaki mdomo wazi utanikumbuka.

Waislamu si ndugu zetu hata kidogo,ni maadui wakubwa kuliko adui yeyote tunaemdhani katika dunia hii.

Kura yangu JK na wagombea wengine waislamu wamekosa. Ni heri nimpe mkristu awayeyote hata kama hana dalili za kushinda lakini atajali maslahi ya Taifa.
 
Hivi tumelogwa??? Mie sio mshirikina ila naanza kuhisa iko namna katika akili zetu ambayo lazima nguvu za giza zimetumika kutufanya hivyo. siobure

Sio nguvu za giza ndugu, ni saikolojia tu ya akili!!
Fisi by nature is scavenger, lakini hali ikiwa ngumu huamua kuwinda!! Ndivyo mafisadi yanavyotafuta pesa, wanapokosa pa kuchota huuza kila wanachofikiri ni mali yao!!
Mapori yakiisha watauza mito ma maziwa, kila mvua samaki aombe ruhusa kwa waarabu, halafu.....
 
Wadugu nashukuru kwa maoni yenu, LAKINI mtazamo wangu juu ya waislamu hautobadilika kamwe, nina udhoefu wa kutosha juu ya hawa watu.

Ikiwa wewe mkristu mwenzangu huamini, uhuru ni wako, ukipenda kujishebedua kwa waislamu matunda yake utayaona, siku ukibaki mdomo wazi utanikumbuka.

Waislamu si ndugu zetu hata kidogo, ni maadui wakubwa kuliko adui yeyote tunaemdhani katika dunia hii.

Kura yangu JK na wagombea wengine waislamu wamekosa. Ni heri nimpe mkristu awayeyote hata kama hana dalili za kushinda lakini atajali maslahi ya Taifa.

Dini ndiyo adui! Natamani ukristo na uislam utoweke East Africa.
Ingekuwa safi sana.
 
Dini ndiyo adui! Natamani ukristo na uislam utoweke East Africa.
Ingekuwa safi sana.

Ndugu Dini ya uislamu ndiyo adui yako mkubwa kuliko afui yeyote unaemfikiri katika dunia hii ya leo.
Jitahidi kufuatilia mafundisho wanayopewa dhidi ya none-muslims then utapata jawabu,ishi nao na chunguza + dadisi kwa undani zaidi utaona sumu iliyoko ndani yao.

Nakuambia usiweke tumaini lolote hata kwa JK na kiongozi yeyote muislamu ndani ya Tanzania.Viongozi wakristu walio karibu nao, wengi wao ni washirikina au wanasaidiana kuwekana madarakani tuu.Wengi wametekwa,hawajui Jk akiwa nyuma ya pazia na waislamu wenzake wanafanya nini. Pesa imewateka hawaoni, na huenda hawana udhoefu wowote juu ya waislamu ama hawajui undani wao na dini yao.

Big NO kwa JK na candidates yeyote muislamu.
 
Kwani mkapa alikua mwislamu?Kauza vingapi? We Mdini ndio adui wa wote, unataka kutenganisha watu kutokana na imani zako za kipuuzi, kwani ukristo umekusaidia nini, zaidi ya kukufanya mtumwa wa mapadri wa kizungu, bora tusiingie kwenye udini maana ukristo hauna afadhali yeyote. Hapa tunazungumzia watalii, na wala hatuna uhakika kama hizo picha ni za TZ kweli. Na hata kama ni TZ, wameharibu mazingira gani?
Sasa mi naona bora we mdini uanzishe topic ya kidini ili tuweze kupeleka hiyo mada huko.
 
jamani, hao si wapo kwa mujibu wa sheria. sasa tatizo ni uarabu???? We should think big.
 
kelele zote si sababu ya mazingira ni kukosa parcent tu, wange pozwa na vijidola wote wangenyamaza.
 
Kwani mkapa alikua mwislamu?Kauza vingapi? We Mdini ndio adui wa wote, unataka kutenganisha watu kutokana na imani zako za kipuuzi, kwani ukristo umekusaidia nini, zaidi ya kukufanya mtumwa wa mapadri wa kizungu, bora tusiingie kwenye udini maana ukristo hauna afadhali yeyote. Hapa tunazungumzia watalii, na wala hatuna uhakika kama hizo picha ni za TZ kweli. Na hata kama ni TZ, wameharibu mazingira gani?
Sasa mi naona bora we mdini uanzishe topic ya kidini ili tuweze kupeleka hiyo mada huko.

Omr sina utumwa wa kidini mimi
Watumwa wa dini ni ninyi waislamu,na Mzee wenu mwinyi aliyediriki kuibadili Tanzania kuwa The uNITED iSLAMIC rEPUBLIC of tanzania akagonga mwamba,hahahah,wasomi walimuumbua,akakosa pumzi,hadi anakwenda kaburini laana hii itamfuata tuu,haikwepeki.
 
Mkapa si muislamu ndio maana akatoa majengo ya Tanesco pale Morogoro kuwa chuo kikuu cha Waislamu ,je angetoa hayo majengo na kufanya Chuo kikuu cha walutheri au Wanglikana sijui kama maandamano ya kutokea mwembechai kama yangeisha
 
Hawa jamaa wako hapo kihalali.Mavazi waliyovaa yasiwatishe ni nguo tu.Kama ni Wakristo sawa kama ni Waislamu sawa.Mtoa hoja kaleta kitu kama hicho kama kuonesha hisia zake,woga wake na uelewa wake.
 
Hii hali ilivyo sasa mbugani waarabu kuweka makazi yao namna hii , Kweli Mmarekani ataweza kuja mbugani na hali ikiwa hivi jamani hii mbona kubwa kuliko ni kwanini tujipotezee mapesa ya wazungu wakati wazungu toka enzi na enzi ndio ambao wamekuwa wakitusaidia,
sisi hata kama hatwendi mbugani kuangalia maliasili zetu ni uwezo tu ila tunazipenda sana tena sana ningependa Mbuga ziheshimiwe waachwe wanyama pekeyao wasiletewe usumbufu.
Lakini kwanini nyinyi tu jamani mbona Kenya haya mambo hayapo? are we stupid? %%%%#####**** griiiiiiiiiiiiiii
i680_fazza3tanzanya16.jpeg

i683_fazza3tanzanya18.jpeg

i688_fazza3tanzanya36.jpeg

i695_fazza3tanzanya122.jpeg

Acheni ubaguzi na inaonyesha hufahamu kinacho endelea katika utalii na uwindaji. Hakuna mtu anayeruhusiwa kuwinda katika National Parks. Hawa waraabu na makampuni mengine (including ya wamarekani) wanawinda katika hunting blocks ambazo zipo nje kabisa na National Parks. Biashara ya kuwinda ilianza kenya miaka mingi na yapo makampuni mengi yanawinda huko.

You have to research before coming up with allegations.
 
Rambo na kanzu? You are a fool, Eddie of whatever faith. Wewe ndiye uliyeingiza suala la dini mahali ambapo halipo halafu sasa unataka kunitwisha mzigo mie? Ulinihukumu kuwa ni mdini hata kabla sijataja neno Rambo!

Inferiority complex inakusumbua kiasi unakana dini yako mahali ambapo hakuna anayekujua! Jina Eddie ni la ki-misheni, sasa wewe ni m-misheni? Kigugumizi cha nini?

Sijaanza leo kuhangaika na sitaacha.

Amandla.......

Fundi,

Kuwa huru kuniita majina utakayo na kunitafutia dini yeyote mimi naita huko ni kuishiwa hoja na sasa unaleta vioja!

Unachofanya ni kuthibitisha nililo lisema awali and Im glad i was right!
 
Fundi,

Kuwa huru kuniita majina utakayo na kunitafutia dini yeyote mimi naita huko ni kuishiwa hoja na sasa unaleta vioja!

Unachofanya ni kuthibitisha nililo lisema awali and Im glad i was right!

Unashindwa nini kusema wewe sio muislamu? Kigugumizi cha nini?

Amandla.....
 
Back
Top Bottom