Msanii Bongo achukua Masters Degree kwa miezi saba! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msanii Bongo achukua Masters Degree kwa miezi saba!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lucchese DeCavalcante, Sep 15, 2009.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hivi naJF naomba kuuliza kweli hivi kuna masters inyotolewa kwa 7 months kwa mtu aliyesoma Advance Diploma au First Degree? Kuna msanii mmoja maarufu hapa bongo kaenda kiwanja kusoma masters na sasa kamaliza within 7 months?

  I doubt
  kwa mtaji huu ile mamlaka ya kusimamia viwango vya elimu ya juu yaani TCU wana changamoto kubwa!
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Sep 15, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,606
  Likes Received: 3,906
  Trophy Points: 280
  Mbona hiyo ni ya muda mrefu kaka? kuna za kuanzia, experience, wiki moja 2, mwezi , miezi3 mpaka utakako wewe! I mean kuna masters mpaka miaka 3! dunia hii hii.

  Utaumiza kichwa kaka wako wengi hao, na to be honest dunia ndiyo inawaangalia hao.

  we need to have standard ya elimu yetu, ya kuwa nani anatakiwa afanye nini na anatakiwa kuwa na uwezo gani.

  Pili kuwasajili wasomi wote regardless ya professionals zao na kuweka sheria , ili mtu ajiite ana masters n.k lazima asajiliwe na bodi fulani!! akikamatwa basi ni kosa la jinai!

  Lakini, je wale wasomi wa kweli tunawatumia? kwa nini hawatumiwi, ni akina nani tunawathamini?.Taifa lisilothamini wasomi na products zake ndiyo linafikia hapa.

  Problem is far than kuwatafuta hawa individuals, si afadhali huyo celebrity?? wako usiowajua
   
 3. S

  Semjato JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2009
  Joined: Jun 26, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nani huyo??
   
 4. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hii habari ingekua na jina la huyo mtu ingekua tam. Mbona mnapenda sana kufichaficha mambo jamani? Vipi?
   
 5. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Ni mzee wa bado nipo nipo kwanza...
   
 6. S

  Semjato JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2009
  Joined: Jun 26, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  una hakika kamaliza shule?acha udaku wewe..
   
 7. O

  Omumura JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ukistaajabu ya musa kweli utayaona ya mafisadi, unashangaa hizo masters za wasanii wakati mawaziri kibao wanazo nyingine za wiki moja!
   
 8. LUSAJO L.M.

  LUSAJO L.M. JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2009
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 223
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Jamaa yangu acha uongo wewe mbona unakuwa unaandika vitu ambavyo huna uhakika navyo. Jamaa mbona bado yupo shule bado. Nini kinakusukuma kusema kwamba kamaliza shule?
   
 9. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2009
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msters kawaida miezi 7 hadi tisa siyo kitu cha ajabu tena ya uchumi kuna jamaa namjua aliichukulia Oxford school of business mwaka 1996 na ni mwalimu pale Arusha college of accounts Njiro. Chuo chini ya wizara ya fedha na ni jiniasi.
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,577
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  eeeh hongera zake la ni mie nitasoma master kama ipo ya 3 month will go zea
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Sep 16, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Juma Nature.....teh teh teh
   
 12. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kawaida nijuavyo mimi masters ni minimum 12months na kuendelea sasa hii miezi saba duh and ndio vyuo vya waNIGERIA???
   
 13. Mzozo wa Mizozo

  Mzozo wa Mizozo JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2009
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 427
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  U wrong my brother....and you need to get your facts straight....angalia course anayochukua mtu na kama ni kwa coursework ama la, kisha utuletee habari hapa... kuna Masterz zipo in total muda wa kukaa darasani ni less than 7 months...ama mlitaka awe mwanafunzi anavaa na uniform ndo mjue bado yupo chuoni? Ama unataka kuniambia na graduation yake na cheti vipo tayari na kashakabithiwa?
   
 14. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #14
  Sep 16, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kuna course ambazo zipo juu ya degree na chini ya Masters zinaitwa Post graduate diploma na huwa ni miezi 6 mpaka mwaka.Hizi huwa wanasoma hasa wale ambao hawana sifa ya kwenda Masters moja kwa moja na akimaliza ndio anasoma tena masters.
   
 15. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #15
  Sep 16, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Zipo kozi za fast track na wala sio za kubabaisha. Kama we ni kichwa panzi umekurupuka, kwenye usaili tu utachemsha.
   
 16. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #16
  Sep 16, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Dudu Baya!!??? Mh!!
   
 17. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #17
  Sep 16, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Course work and dissertation within 7 months? hiyo imetulia!
   
 18. m

  mdini Member

  #18
  Sep 16, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuache ujinga 7 months

  Viongozi waige mfano wa Magufuli, huwa napishana naye hapa UDSM, nilipouuliza kulikoni, nikaambiwa anasoma PhD.

  Jamaa anaingia class kama kawa,hana makuu, hafu utavunja mbavu jinsi anavyouliza maswali na ile lafuzi yake.

  Big up Magufuli,PhD holder.
   
 19. S

  Semjato JF-Expert Member

  #19
  Sep 16, 2009
  Joined: Jun 26, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  unaruka maswali sababu unajua unasema uongo?
  una uhakika na ulichoandika hapa kuwa mzee wa bado nipo nipo kamaliza kufanya hiyo masters?ama suala limebadilika sasa kuwa masters ni mwaka mmoja?
  hata hivyo hujui kitu kuhusu elimu inaonekana.
  kweli miafrika ndivyo tulivyo
   
 20. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #20
  Sep 16, 2009
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu ni kweli Magufuli anasoma UD ana vituko balaa. Mimi nimeshamkuta akipiga stori na madenti, anavituko sana. Hutaamini ni yeye waliyemtelekeza na samaki wake
   
Loading...