Recent content by mchimbadhahabutz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Msalala yawalazimisha Mama Lishe na Barmaid kupima VVU kwa kulipia sh 10000

    Katika kile wanachokiita halmashauri kubuni vyanzo vya mapato, msalala imepitisha na kuamulu kila mtumishi wa kwenye mgahawa na mama lishe na bar med kupima Virusi Vya Ukimwi (V.V.U) kwa kulipia sh. 10000 kwa kila mfanyakazi wa bar, mgahawa au hoteli. Matangazo hayo yanaendelea kutangazwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Agizo la Magufuli lapuuzwa na waziri wake, ni kuhusu wachimbaji wadogo

    acha a endelee kuwa mwokozi tu maana wasaidizi wake wakati mwingine wanajikanganya na maamuzi yake
  3. M

    JamiiForums Tanzania Agizo la Magufuli lapuuzwa na waziri wake, ni kuhusu wachimbaji wadogo

    Ni takribani mwezi na nusu toka mheshimiwa rais Magufuli atoe kauli yake dhidi ya wawekezaji kujirimbikizia maeneo ya uchimbaji madini makubwa ambayo hawayatumii huku watanzania wakifa na njaa. Alizuia wapiga kura wake kufukuzwa hovyo kwa ajili ya muwekezaji mmoja. Cha kushangaza jana waziri...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sina hata mia ya kula afu Voda wanasema pesa zitarejeshwa ndani ya siku 4!

    kama upo dar ni bora tu uende pale ofisini kwao m.city
  5. M

    JamiiForums Tanzania UDSM yazuia Viwanja na Barabara zake kutumiwa na Watu wanaofanya Mazoezi

    wengne ni vibaka, kuna jamaa alitaka kumliza mchina simu yake pale basketball pitch
  6. M

    JamiiForums Tanzania Upande wa pili wa kisa cha Mama Mjane aliyemlilia Rais Magufuli kuhusu kudhulumiwa Mirathi

    hata mimi nilihisi kuwa huyu mama ni TP, anyway kesi bado ipo mahakamani!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nichangie japo kidogo niweze kuendelea na masomo yangu ya Chuo TIA

    nisamehe bure ndugu yangu! amenitumia ID yake ni kweli inaoneonesha ni kweli ni mqanafunzi wa TIA. Sorry nakutumia nilichokuahidi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nichangie japo kidogo niweze kuendelea na masomo yangu ya Chuo TIA

    ndugu mbona hili jina la namba uliyonitumia limekaa kisanii sana? nilitaka ku confirm lakini jina lako la mpesa limenitia mashaka. leta details za kutosha kwanza mkuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nichangie japo kidogo niweze kuendelea na masomo yangu ya Chuo TIA

    Duh pole sana, ni maisha ambayo hata mimi nimeyapitiia nikiwa udsm, ninajua situation uliyonayo! nakumbuka hata fee ya semister ya mwisho nililipa siku ya j3 asubuhi wakati huo saa5 nina pepa! nilikua frastrated sana. Ushauri wangu weka no ya simu nikuchangiw hata hiyo 1000 maana hata mie huku...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jobless tunadhaurika sana

    tumia elimu yako kufikili nje ya box, buni mradi/idea wafuate watu wenye pesa washawishi wakuwezeshe idea yako! mie nilijaribu baada ya kuona ajira ni tatizo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

    ukiamua inawezekana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu joint venture (JV) company Tanzania?

    Asante Sajo kwa ufafanuzi wako mzuri ila ni vipi pale ambapo nipo assured of the tender while sina mtaji na ninahtaji JV na kampuni ambayo ina mtaji ni mgawanyo upi mzuri wa faida in %?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu joint venture (JV) company Tanzania?

    Wabobezi katika sheria za muungano wa kampuni naomba msaada wa kisheria inayohusu JV. Nina kampuni yangu haina mtaji wala vifaa ila ila ina watu wenye uwezo wa kutafta fursa za kazi (tenders) ninahitaji kuungana na kampuni ambayo ina mtaji,wataalam na vifaa. Ninachohitaji kujua ni kuwa katika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Buriani ndugu zangu , tutaonana akhera

    hakuna dhambi mbaya kama kukata tamaa! pambana
Back
Top Bottom