mchimbadhahabutz
Member
- Oct 15, 2016
- 56
- 49
Wabobezi katika sheria za muungano wa kampuni naomba msaada wa kisheria inayohusu JV.
Nina kampuni yangu haina mtaji wala vifaa ila ila ina watu wenye uwezo wa kutafta fursa za kazi (tenders) ninahitaji kuungana na kampuni ambayo ina mtaji,wataalam na vifaa.
Ninachohitaji kujua ni kuwa katika muungano kama huu kila kampuni inaweza vp kugawana faida itakayopatikana katika miradi itakayopatikana?(kiasi gani in%)
Faida inakokotolewaje?