Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Jamani nyie voda muwe na huruma. Jana nilikosea kutoa pesa nikatoa kwenye namba ya wakala mwingine ambaye hata simfahamu.
Nimewapigia simu Voda-Mpesa nao wameniahidi kurejesha pesa baada ya siku nne!
Jamani huku si ni kukomoana? Kwani ku reverse hiyo transaction inachukua dakika ngapi?
Mbona mnaleta mambo ya kizamani ya Posta na Simu?