mchimbadhahabutz
Member
- Oct 15, 2016
- 56
- 49
tumia elimu yako kufikili nje ya box, buni mradi/idea wafuate watu wenye pesa washawishi wakuwezeshe idea yako! mie nilijaribu baada ya kuona ajira ni tatizo
unajishtukia tu hakuna mtu anayekudharau
tumia elimu yako kufikili nje ya box, buni mradi/idea wafuate watu wenye pesa washawishi wakuwezeshe idea yako! mie nilijaribu baada ya kuona ajira ni tatizo
Ukitaka kazi za kwenye viyoyozi utasubiri sana..njoo ukomae kitaa huku kaz kibao na unapiga pesa ndefu tu..usikae usubiri mpka uajiriwe
Vumilia ndugu yangu, wakati wako wa kupata haujafika.mungu amekuqeka katika majaribu.Mungu ana sababu zake.ukifika wakati wakho, unaweza wapita hata hao walio nacho leo.Jambo moja mihimu; USIKATE TAMAA.ila ongeza marifa katika ubunifu wa nini cha kufanya katika kujiingizia kipato.Hakuna fedhea kubwa dunia kama umesoma umri unaenda afu huna kazi kila mmoja atakudharau ila naamini Mungu ni wakwetu sote wakati wangu utafika tu.
Tunabeba na kupakia magunia ha parachichi huku kwetu yanapelekwa dar per day tunagawana sio chini ya elfu 25 kila mtu hebu piga per month ni bei gani hiyo napata mbeba magunia sina haja ya kuajiriwa mie, magunia yakikata napanda mlima (kilimanjaro)Ukitaka kazi za kwenye viyoyozi utasubiri sana..njoo ukomae kitaa huku kaz kibao na unapiga pesa ndefu tu..usikae usubiri mpka uajiriwe
Pole ndugu,,,tupo wengiHakuna fedhea kubwa dunia kama umesoma umri unaenda afu huna kazi kila mmoja atakudharau ila naamini Mungu ni wakwetu sote wakati wangu utafika tu.
Tatizo umekariri kuwa mpaka uajiriwe! Na ofisi mpaka iwe na meza na kiti! Kalaghabaho!Hakuna fedhea kubwa dunia kama umesoma umri unaenda afu huna kazi kila mmoja atakudharau ila naamini Mungu ni wakwetu sote wakati wangu utafika tu.
Funguka kidogo utie moyo wenzako! Shughuli gani inakupa 1m kwa mwezi net?Bora nikae kwenye feni langu la panga boy napata milioni moja kwa mwezi kuliko kuniajiri nikae kwenye AC halafu unilipe laki 5 na 50 kwa mwezi
Haya mkuu taunganisha naushauri wa mh Waziritumia elimu yako kufikili nje ya box, buni mradi/idea wafuate watu wenye pesa washawishi wakuwezeshe idea yako! mie nilijaribu baada ya kuona ajira ni tatizo
mkuu we ni realisticKakudanganya nani huku nilipo kuna vibarua wanafanya kazi ila wanadharauliwa kinoma....wakati wanafanya kazi kuliko waajiriwa.....sembuse hauna kazi dharau zinaanzia nyumbani mpaka mtaani...jobless ni nuksi tupu....Tumwombe Mungu tu
Asante mkuu ngoja nikomaeKijana usikate tamaa najua utadharaulika sana especially ukiwa kijijini, Mimi nkiwa chuoni wakati wa likizo nlikuwa napga Bodaboda na nlipitia changamoto nyingi maana watu wengi walinishangaa coz enzi za kishule nlikuwa kichwa kizuri sasa watu wakawa wanashangaa inakuwaje nko university nafanya bodaboda na wakati shule za kupiga temporal work zipo. Nlikuwa napata hela nzuri tu.
Baada ya kuhitimu nligoma kuomba hizo kazi za kufundisha mashuleni maana mm si mwalimu na kazi hiyo nliwahi kuifanya inatesa na malipo ni kidogo, nlichokifanya kwa kuwa nmezaliwa bush na familia yangu ina eneo la kutosha uncultivated ilibidi nianze kulima matikiti na nyanya wakati huo eneo hilo hilo napanda miti , baada ya muda mfupi nliitwa mjini kufanya usahili na nlifanikiwa kupata kazi enzi za Jk, kipindi chote hicho majirani walikuwa wanafurahi ety ona amesoma miaka yote hata kazi hana ila sikutaka kuyaskiliza coz I can't argue with ignorants.
Kwa sasa nipo kazn miaka 4 na lile shamba la miti naambiwa km nahitaji 60million napewa japo kwa sasa sitaki.
USHAURI: Jiamini na usiwe na haraka na tamaa ya maisha maana kutangulia siyo kufika unaweza kupata kazi umechelewa ukaja kuwapita kimaendeleo waliokutangulia, keep praying and hustling.
Ili neno mkuuVumilia ndugu yangu, wakati wako wa kupata haujafika.mungu amekuqeka katika majaribu.Mungu ana sababu zake.ukifika wakati wakho, unaweza wapita hata hao walio nacho leo.Jambo moja mihimu; USIKATE TAMAA.ila ongeza marifa katika ubunifu wa nini cha kufanya katika kujiingizia kipato.
Tukazane mkuu siku yetu ipoPole ndugu,,,tupo wengi