Recent content by MBOMBO

  1. M

    Serikali itafaidikaje na Takwimu ya udini?

    Kwani wewe kuwa mtanzania haitoshi kukutambulisha na watu wakifanya kazi zao ipasavyo utapata kila kitu....? Kwa nini hatujifunzi kitu kwa kusoma herufi "USA" UK " UAE n.K...? Unafkiri hizi umoja zingefikia kuongoza dunia kimaendeleo kama zingeongea lugha ya udini,nk...? Alafu angalia DRC...
  2. M

    Serikali itafaidikaje na Takwimu ya udini?

    Wanasheria watoe michango apa... Ila mimi nafkiri jibu ni rahisi. Tanzania ni JAMHURI inayoongozwa na katiba. HAINA DINI (haiongozwi kwa misingi ya dini) ila watu wake wana uhuru wa kuamini katika imani zao ili mradi hawavunji sheria, Serikali inaheshimu imani na uhuru wa wa TZ. Sensa inahusu...
  3. M

    TUSEMEZANE: Je ni kitu gani ndani ya maisha yako umekipa Kipaumbele zaidi ya afya yako?

    Hivi mnajua matatizo mengi yanayotesa wengi yanasababishwa na wao wenyewe kutokana na lyf style zao...? Angalia wa TZ walivyo na mitazamo ya ajabu... Wengi wanafkiri unene ndio afya nzuri huku wakisahau madhara ya unene na wakiweka elimu zao na mazoezi kapuni. mfano Angalia graduates...
  4. M

    Msaad mabaka meusi

    Kuongezea apa, hii baking soda kiswahili wanaiita MAGADI SODA au kifupi magadi... Ni meupe kwa rangi , yakiwa yamesagwa yanaonekana kama mchanga, na yanapatikana kwa wingi Singida, Arusha, hata baadhi ya maeneo upareni-kilimanjaro
  5. M

    Mchumba wa rafiki yangu

    kama anajua una mke afu anatake muwe mna "hangout" huoni anataka wewe uonekane ndio chanzo kama atamwacha mwenzake...na matokeo yake kuvunja ndoa yako..? Hapa ni hatari na Nafkiri apo ni pagumu wewe kuingia... KAma wameshafkia mipango ya arusi, Mshauri aombe kuwa na mazungumzo na WAZAZI wa...
  6. M

    Anataka kunitumia?

    Ebu jiweke kwenye nafasi ya mwanaume mwenzako, alafu mwanaume mwenzako ampigie mchumba wako na kumweleza mambo ya usheeee... alafu HISIA UTAKAZOZIPATA, kama ZITAUPA MOYO wako AMANI basi fanya kama hazikupi amani, KIMBIA, KAA MBALI na uyo dada maana ukimzoea, MADHARA YAKE NI MAKUBWA SANA. kata...
  7. M

    vp crdb na nmb?

    tatizo mmeshajiaminisha kwamba kila kitu ni adi kujuana.... kikubwa nachowashauri, jenga mtazamo chanya na UWE TAYARI KUFANYA KAZI MKOA WOWOTE. Maana mfano NMB hutangaza kazi KI-KANDA na kanda moja ilitangaza kazi mwaka jana ila waliweka TAHADHARI kwamba kwa MWENYE MTAZAMO WA KUTAKA KUFANYA KAZI...
  8. M

    Best paying company in tanzania

    Inasemekana wabongo wakiajiriwa huko hawatulii, wanaingia tamaa na kujikuta wanaingia kwenye maskendo ya kupiga dili (licha ya kulipwa vizuri). Yaani hata kama ni kukwangua hadi ukoko, inapofika mahali wanataka kukwangua hadi WATOBOE SUFURIA, ndipo mwajiri anaamua kuwatimua ili kunusuru sufuria...
  9. M

    USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    SHILINDE, 1: Hii ni MIZIGO isiyo ya lazima. Kwani hawa wanawakilisha JIMBO GANI ikiwa wananchi wote wa jimbo fulani wanamchagua mwakilishi wao kwa kupiga kura? 2: Na je, kama ni mtu anafkiri waende basi kuwakilisha mbona hawaletwi kwa kundi wanalodaiwa kuwakilisha afu kundi hilo liseme kama...
  10. M

    Nilivurunda interview yao lkn bado waliniita kazini

    wewe usione kua jeuri na umewaweza.... Cheza cheza ukute wanakulia taiming, waje wakubambe ulipwe jeuri yako.. Nenda kaachie mdomo uone janja ya wenzako.
  11. M

    Employment opportunities

    Je, nyie mmejiajiri katika biashara zenu ili muweze kutoa maelekezo ambayo ni HALISIA na SIO kutoa ushauri ambao umeegemea zaidi KINADHARIA na sio kwa vitendo...?
  12. M

    Nafasi za kazi TCC

    Awa jamaa wanapata staff hasa kwa kupita vyuoni mara nyingi UDSM kupitia events wanazofanya kama presentations wanazopanga kwa kutembelea vyuo na kufanya mazungumzo na graduates watarajiwa. Hawaji \hawaendi vyuoni peke yao. Hualikwa na chuo husika, na wanakua waajiri wengi zikiwemo Benki, TBL na...
  13. M

    Tukubali au tukatae ushirikina upo ktk kutafuta kazi...

    uchawi kwamba ati utakuwezesha uchaguliwe kwenye intavw... Hii ni imani tu kama. Unajua kadiri unavyoji-tune ndivo ivyo system za mwili zinaji-adjust kufuatana na kitu unachokiamini. Kama ukiamini huwezi kufanikiwa bila uchawi, mwili wote -kuanzia ubongo hujitune kufeli. maana syestem inatoa...
  14. M

    Nafazi za kazi tulawaka

    Wana-jamii sory kwa kuchomekae aka ka kitu apa. Ni swala la ufahamu nimeulizwa na na jamaa katika harakati zake za kusaka ajira kwenye kampuni za mawasiliano: "Je, unaweza kufahamu hizi kampuni zinalipa kiasi gani kwa nafasi ya AREA SALES MANAGER, aU MA-sales SUPERVISORS...?"
Back
Top Bottom