Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,554
waungwana wote nadhani wakati umefika wa kurejea eden kwa maana hii dunia imekuwa ya wajanja,kila mtu anazijua fedha matangazo mengi magazetini,radioni, luninga n.k dawa hizi ktk hospitali zetu watu wako kibiashara zaidi mgonjwa aweza kwenda akiwa nafuu akapewa dawa zilizochakachuliwa akazidiwa zaidi,lakini mimi napendekeza tusiache kwenda hospitali eti kwa sababu tu ya tiba mbadala tutakwisha kwa dawa zisizo na vipimo bana.
Unatjichanganya, mara turudi eden, mara tutumie dawa zenye vipimo! Umelewa nini?