Msaad mabaka meusi

NTINGINYA

JF-Expert Member
Oct 5, 2010
252
47
Heshima yenu wakuu nasumbuliwa na kukerwa sana na hili jambo nimkuwa nikipata na weusi kwenye makwapa na katikati ya mapja kitu hiki kinaninyima raha. najisugua sana napooga lakini hakuna mabadiliko.kuna mtualinishauri kutumia dawa lakini sikupenda kwakuwa ni kemiko naomba kama kunadawa za kawaida zisizo na kemikali
 
chukua baking soda yani sodium bicarbonate mix with lemon or water thn jipake after 15 min unaifuta, inaondoa harufu na weusi pia
 
Muone dactari wa ngozi kabla ya kutumia dawa yoyote kwa sababu kuna watu wana melanin nyingi kwenye makwapa na mapajani yaani zile sehemu ambazo huwa hazikutani na mwanga wa jua na hivyo kuzifanya kuwa nyeusi kuliko sehemu zingine. Hivyo usije ukatumia dawa kumbe sababu ni hiyo.
 
Kama kwenye kwapa au kwenye mapaja unatumia aluminium based antiperspirants(deodorants) soma ingredients za vitu unavyotumia sehem hizo,then hayo ndio matokeo.haziwez kutoka kwa kusugua.ukiona kuna aluminium ni pm nitakusaidia lakim kama hazina aluminium hilo tatizo sijui.hatushauriwa kutumia deodorants zenye aluminium jaribu kutumia isiyo kuwa nazo.
 
Mkuu mimi situmii deoddorants sina haru ya kwapa

Asante Nilkarish unaweza nipa vipimo kiasigani nichanganye. baking soda ni ileinayo tumiwa kwenye kuumua unga wangano sio

chukua baking soda yani sodium bicarbonate mix with lemon or water thn jipake after 15 min unaifuta, inaondoa harufu na weusi pia
 
Mkuu ntafanya hivyo, ubarikiwe

Muone dactari wa ngozi kabla ya kutumia dawa yoyote kwa sababu kuna watu wana melanin nyingi kwenye makwapa na mapajani yaani zile sehemu ambazo huwa hazikutani na mwanga wa jua na hivyo kuzifanya kuwa nyeusi kuliko sehemu zingine. Hivyo usije ukatumia dawa kumbe sababu ni hiyo.
 
nimesikia kuwa kuna chumvi zinauzwa kariakoo maalumu kwa kutuo weusi huo katika maeneo hayo
 
Products nyingi madukani zina kemikali.
Ila ukitaka tumia skin lightening cream au lotion yoyote yenye hydroquinone 2%.
Mfano Rico wana sabuni, cream na lotion hizi zimenisaidia nami nilikuwa na tatizo hilo.

Heshima yenu wakuu nasumbuliwa na kukerwa sana na hili jambo nimkuwa nikipata na weusi kwenye makwapa na katikati ya mapja kitu hiki kinaninyima raha. najisugua sana napooga lakini hakuna mabadiliko.kuna mtualinishauri kutumia dawa lakini sikupenda kwakuwa ni kemiko naomba kama kunadawa za kawaida zisizo na kemikali
 
hapana inayotumika kuumua unga ni baking powder , but some people wanatumia hii pia, ila baking soda is the best. huwa inatumika kuivisha maharage nadhani.. kipimo cha makisio tu mfano kijiko kimoja cha chakula
 
Asante sistar nitafatilia ubarikiwe

hapana inayotumika kuumua unga ni baking powder , but some people wanatumia hii pia, ila baking soda is the best. huwa inatumika kuivisha maharage nadhani.. kipimo cha makisio tu mfano kijiko kimoja cha chakula
 
Mkuu mimi situmii deoddorants sina haru ya kwapa
Kutumia deodorants haimaanishi wewe lazima uwe una harufu mbaya ya kwapa,deodotants inaweza kutumika kutengeneza harufu nzuri ya kwapa yaani liwe linanukia,na hii concept wanayo watu wengi sana wanafikiri hata watu wanao paka Perfumes ni watu wenye harufu mbaya,hii sio kweli kabisa ni kuwa wengi wanapenda kunukia manukato mazuri na sio kwamba wana harufu mbaya.
 
Mkuu sijamanisha kuwa kila atumiae anaharufu mbaya la hasha ispokuwa kwa muono wangu sipendi kutumia kitu abacho si chalazima kwangu pia nikitumia uturi unatosha kabisa kuniweka katika haliya mnuso mzuri, pia napenda kujiepusha na vitu vyenye kemikali ispokuwa panapokuwa na ulazima wa kutumia hayo madude yameshanganywa na mambo mengi tusiyo yajua, mfano kua rangi za midomo wanatumia wakezetu na akina mama na akinadada mchanganyo wake ni kutokana na magovi yanyo tairiwa watu lakini watu hawafaham wanatumia bila ridhaa. tuepuke vitu visvyo vyalazima

Kutumia deodorants haimaanishi wewe lazima uwe una harufu mbaya ya kwapa,deodotants inaweza kutumika kutengeneza harufu nzuri ya kwapa yaani liwe linanukia,na hii concept wanayo watu wengi sana wanafikiri hata watu wanao paka Perfumes ni watu wenye harufu mbaya,hii sio kweli kabisa ni kuwa wengi wanapenda kunukia manukato mazuri na sio kwamba wana harufu mbaya.
 
hapana inayotumika kuumua unga ni baking powder , but some people wanatumia hii pia, ila baking soda is the best. huwa inatumika kuivisha maharage nadhani.. kipimo cha makisio tu mfano kijiko kimoja cha chakula

Kuongezea apa, hii baking soda kiswahili wanaiita MAGADI SODA au kifupi magadi... Ni meupe kwa rangi , yakiwa yamesagwa yanaonekana kama mchanga, na yanapatikana kwa wingi Singida, Arusha, hata baadhi ya maeneo upareni-kilimanjaro
 
Hi NIlkarishi na Jf wote mlio toa mawazo na kuchangia natoa tarifa ya kuwa nimeanza kupata mabadiliko sasahivi nimepata unafuu ulewesi umeanza kupotea na mwako flani nashukuru members kwa ushauriwenu
 
Inaweza kuwa dalili ya kisukali hasa kama weusi huo upo na shingoni! Nenda kacheki sukari/insulin resistance! Pia check PCOS kama ww ni mdada!
Kama siyo ya hivyo, basi tumia njia mbadala ya kunyoa nywele za makwapani na kinenani kwani hiyo pia inaweza kuwa chanzo! Vaa nguo inayopitisha hewa ya kutosha, pamba ni bora zaidi!

Unaweza jiunga na jamaa wengine wenye tatizo kama lako kwa kubofya hapa:
Top 5 Causes of Darkened Armpits
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom