Tukubali au tukatae ushirikina upo ktk kutafuta kazi...

chitanda.nyoka

Senior Member
May 3, 2012
193
43
Ndugu zangu me huwa siamini ushirikina hla kwa tukio hili naamini upo coz tuliitwa kwenye interview na jamaa akanambia twende kongowe kwa babu yake hili tufanikiwe maana interview ilikua 1 tu ya oral na jamaa english utata.

Alivyorudi toka kwa babu akanambia nimeshapata kazi hata nicpoenda kesho yake tunaenda kwenye interview tumeitwa wote tumefanya usaili mpaka tunamaliza jamaa hajaitwa akamfuata secretary kumuuliza akamuonyesha cv yake ipo kwa waliofanya usaili baada ya siku 3 kapgiwa cm kala shavu, nikamkumbuka mandojo na domokaya tunaweza kulia na mola kumbe wanga nao wana mix
 
ndugu zangu me huwa siamini ushirikina hla kwa tukio hili naamini upo coz tuliitwa kwenye interview na jamaa akanambia twende kongowe kwa babu yake hili tufanikiwe maana interview ilikua 1 tu ya oral na jamaa english utata alivyorudi toka kwa babu akanambia nimeshapata kazi hata nicpoenda kesho yake tunaenda kwenye interview tumeitwa wote tumefanya usaili mpaka tunamaliza jamaa hajaitwa akamfuata secretary kumuuliza akamuonyesha cv yake ipo kwa waliofanya usaili baada ya siku 3 kapgiwa cm kala shavu,nikamkumbuka mandojo na domokaya tunaweza kulia na mola kumbe wanga nao wana mix

Wewe bwana mdogo, kama hujafahamu bado kwamba hayo mambo ya kishirikina ni ya kijinga, na yanawahusu wajinga na simply do not exist basi hata hiyo shule uliyosoma haijakusaidia na ndio kiini hasa cha kushindwa intavyuuu!!!! Kizazi gani hiki hapo Bongo??????, cry my beloved country!!!!!!!!!!!
 
Huu ni uongo mtupu, kama hivyo jamaa anatafuta kazi ya nini? si aende kwa babu akute akaunti zake zote zimejazwa pesa benki? MUONGO MKUBWA WEWE, LO!
 
Jaman uchawi upo sio kisa umesoma ndo useme uchawi hamna dini zenyewe zinakubali uchawi upo. Then si mnamkumbuka Chenge alichofanya nae ni msomi wa Havard...
 
Kwanza ukubali ukatae UCHAWI UPO,

Tatizo linakuja kwa waamini, kama wewe unaamini uchawi ktk shughuli na maisha yako basi kila ufanikiwalo utaliitia jina la mwanadamu tu,

Kama wewe imani yako ipo kwa Mungu basi yakupasa kila ulifanyalo liwe na baraka za muumba!

Hata maandiko ya kiroho yasema, aheri kuchagua upande wa kwenda, kama ni moto basi kuwa moto kweli na kama ni baridi basi kuwa baridi hasaaa!

Si busara kuwa katikati!
 
Na inabidi arudi kwa babu kila baada ya muda gani ili ku-maintain kazi? Manake report kwa wafadhili hazidanganyi atii
 
Huu ni uongo mtupu, kama hivyo jamaa anatafuta kazi ya nini? si aende kwa babu akute akaunti zake zote zimejazwa pesa benki? MUONGO MKUBWA WEWE, LO!

Si hapo sasa, unaenda kwa mganga eti akupe utajiri, wakati huo yeye anakutoza hela, si ajitengenezee kwanza!!!
The unseen is illustrated by the seen.
 
Jaman uchawi upo sio kisa umesoma ndo useme uchawi hamna dini zenyewe zinakubali uchawi upo. Then si mnamkumbuka Chenge alichofanya nae ni msomi wa Havard...

hawa wanaongea kujifurahisha unaweza ukakuta wana chale mpaka kwenye masabuli
 
Huu ni uongo mtupu, kama hivyo jamaa anatafuta kazi ya nini? si aende kwa babu akute akaunti zake zote zimejazwa pesa benki? MUONGO MKUBWA WEWE, LO!
hata kama mtu unaenda kwa wazee lazima vigezo uwe navyo anakusaidia kwenye competition wenzetu wanaletwa na baba zao na vi memo uswahilini wanapga mawe kwenda mbele mpaka mtu anamsahau mwanae ww unafikiri mtu anaeenda kwa mganga na ww unaeenda kwa mchungaji anaetoa misukule wanatofauti gani wote wanatumia nguvu za giza au sababu yule anavaa suti?
 
Kwa msomi na mtu yeyote mwenye akili timamu sidhani kama anaweza kufanya jambo la kijinga kama hili
 
Na inabidi arudi kwa babu kila baada ya muda gani ili ku-maintain kazi? Manake report kwa wafadhili hazidanganyi atii

Waganga nao ni wajanja, wakati unaingia nao mkataba wanaweza wasikwambie kitu, au anawesema utamletea mbuzi.
Utakapo rudi mara ya pili ndipo utaambia unatakiwa kumtoa kafara mama yako au mwanao. Wanajua wakisema mapema wateja watakataa kuingia nao mkataba.
upo apo?
 
unatakiwa kujua kuwa, waganga na wachawi etc wapo, na uchawi unafanya kazi kabisa, nimeshuhudia...lakini una garama yake, unaweza kufurahia kwa muda, muda wa majonzi utajuta kwanini ulilianzisha......garama yake ni ngumu sana. kuna jamaa mmoja alikuwa polisi, yeye alikuwa kiboko kupambana na majambazi, ukimpiga risasi haiiingii, nimeshuhudia watu wengi tu majambazi unapiga risasi inadunda kabisa mchana kweupeee, kuna mganga wao alikuwa kibondo...kwa wale wa kigoma etc na rwanda/burundi wanajua haya mambo sana....lakini masharti yake, ndo unakuta ni kulala ma mama yako mzazi, binti yako, kula maviii, kulala ma vitoto vidogo ndo ubakaji unaambiwa mtu kabaka katoto ka miaka miwili etc.....na kweli ukifanya hivyo unafanikiwa, na ukishindwa unakufa au unakuwa chizi etc, na kuna wakati sasa mganga wako akifa ndo unabaki na mzigo wa ajabu hutajua hata kwa kupeleka.....
 
Upo uwezekano yule mjamaa aliyelala na katoto ka miaka 9 alitumwa na mganga eeh?!
 
Upo uwezekano yule mjamaa aliyelala na katoto ka miaka 9 alitumwa na mganga eeh?!
hivi mtu mwenye akili timamu kabisa anaweza kufanya mapenzi na katoto ka miaka miwili, mitatu hata sana na kumi etc, wengine wanabaka katoto ka mwezi mmoja...kama si ushirikina unafkiri itakuwa ni nini? wengi wa wanaofanya hivyo, wakifanyiwa interrogation yaani kipigo cha polisi huwa wanaelekeza hadi mganga yupi alisema wakafanye hivyo.
 
uchawi kwamba ati utakuwezesha uchaguliwe kwenye intavw... Hii ni imani tu kama. Unajua kadiri unavyoji-tune ndivo ivyo system za mwili zinaji-adjust kufuatana na kitu unachokiamini. Kama ukiamini huwezi kufanikiwa bila uchawi, mwili wote -kuanzia ubongo hujitune kufeli. maana syestem inatoa OUT-PUTS kulingana na INPUTS ulizoijaza. Kumbukeni maandiko "Huwezi kuchuma tini katika mizabibu" Ukipanda mahindi huwezi vuna choroko katika hayo
 
Ndugu zangu me huwa siamini ushirikina hla kwa tukio hili naamini upo coz tuliitwa kwenye interview na jamaa akanambia twende kongowe kwa babu yake hili tufanikiwe maana interview ilikua 1 tu ya oral na jamaa english utata.

Alivyorudi toka kwa babu akanambia nimeshapata kazi hata nicpoenda kesho yake tunaenda kwenye interview tumeitwa wote tumefanya usaili mpaka tunamaliza jamaa hajaitwa akamfuata secretary kumuuliza akamuonyesha cv yake ipo kwa waliofanya usaili baada ya siku 3 kapgiwa cm kala shavu, nikamkumbuka mandojo na domokaya tunaweza kulia na mola kumbe wanga nao wana mix

jaribu na ww kwa mganga ucachwe nyuma
 
Back
Top Bottom