mkuu TCC wanatangaza nafasi za kazi kupitia magazeti ila ni muda wapo kimya maana tangazo la mwisho lilikuwa mwaka jana mwezi wa kum na moja (sina uhakika sana) kwa mwaka huu kuna barua wamepitisha vyuoni ila sijui kwa vyuo vingapi lakini mimi nipo Mzumbe University-main Campus walibandika barua wanataka watu kwa ajili ya internship na awe na sifa zifuatazo;
1. final year student with major in accounting, finance, marketing, management, law and economics.
2. excellent communication skills in both English and Swahili
3. basic computer skills
4. boundless energy and can do attitude.
they said "TCC seeks Tanzania best graduates to grow together in order to achieve great sucess"