Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,297
- 21,699
haya hongera, na kazi pia haribu utapata kupandishwa cheo:amen:
Pengine walikua wanahitaji mtu kama wewe...! haukujibu ki fedhuli hata kidogo..., kama sikosei wangekuweka magereza ukawe nyapara