Kuna mnaongea vitu msivyovielewa iki mradi muonekane na nyie mmechangia mada. Ki ukweli ni kwamba kuna utofauti mkubwa sana kati ya photocopying na printing katika ulaji wake wa wino yaani printing inakula sana wino kuliko copying na ndo maana unaweza kuta machine ya lasser jet inaouwezo was...
Mmh!! Kwa kanuni gani umetumia mkuu? Hebu jaribu hapa kg =ct/5000.00. Yaani chukua 1000 gawa kwa 5000.00 je utapata hiyo 1kg?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani huyo binti nilimuoa akiwa na mtoto mdogo wa mwaka mmoja na kama miezi mitatu hivi japo awali hakuwa ameniambia kuwa ana mtoto kwan alikua anahisi labda na mimi ningelimkimbia kama ilivyokua kwa huyo mwanaume wake wa awali ambaye alimkimbia baada ya kumpa mimba akiwa bado ni mwanafunzi sasa...
Kwa kweli mke niliyeachana naye amenifanya nijute kuoa simpendi hata kusikia jina lake likitajwa sehemu simmiss hata kidogo ni mshenzi asiye na shukrani siwezi kummiss hata kama sitapata mke mwingine siwezi kummiss yeye ni chui aliyejificha kwenye ngozi ya kondoo kwa mda mrefu na alipotimiza...
Habari zenu wana jamii,
Naomba mnisaidie namna ya kufanya application ya vyuo ngazi ya cheti kupitia online pale NACTE maana naona tangazo tu la kwamba mfumo utafunguliwa tarehe 15/05/2017 lakini mpaka leo haifunguki.
Hahaaa umenikumbusha jirani yangu pale karakata yeye alikua hapendi kucheka cheka na mtu na alikua kamanda wa jeshi la ardhini pale gomsi sasa jamaa alikua anafanyaga vitu sometimes unajiuliza hivi huyu mtu ni wa kawaida kweli? Maana yee hata akijikwaa au kujigonga sehm iwe mlangoni au kwenye...
Daah wee jamaa una moyo kweli mi siwezi aisee anakula za uso fasta yani wala sitaki azubae zubae ndani kwangu tena hata kama nilimpenda kivipi au tumedum mda gani mi mwenyewe yamenikuta hayo japo sijaahuduia kwa macho lkn mazingira tu na matendo ya aliyekua mke wangu yalinipelekea nikampa taraka...
Kama huyo binti ana mimba miezi minne na huyo mshikaji kaikubali hiyo mimba basi wakubaliane tu kushare malezi ya huyo bint na kwamba hilo swala liwe siri lisfike shuleni na bint arudi shule akafanye mtihani wake wa mwisho kwani mimba inaweza ikawa haionekani huenda mpk atakapomaliza mtihani...
Tena nipo serious kweli kweli maana siwezi kuunga mkono suala la kulipiwa mahari na mke japo sikushawishi wewe maana haya ni mawazo yangu yanayoongozwa na imani yangu kwa kuwa hata dini yangu haishadadii hili ndo maana Mwnyezi Mungu akutoa angalizo juu ya utoaji mahari ya kuwa anayepaswa kutoza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.