What do you miss about your ex?

What do you miss about your ex?

Sikumbuki chochote, maana hakuiona thamani yngu ndo maana CPO nae.

Haya mambo yakuachana na mtu bado unamweka moyoni mbaya sana, tupa kule anza upya
 
Wote mnaokumbuka Ex wenu kwa UZINZI hamtakaa muwe na ndoa salama hata siku moja.

Unless mmeamua kutokuoa na kuolewa maishani mwenu.

Nawasikitikia sana
Kabisa makoyo, kwnn waliachana kama walikuwa wanapendana
Limtu linakusaliti linatoka na mwingine unaliweka moyoni baada ya kuachana upuuzi tu
 
Hapo unaposema hamsex ndio unadanganya.....maana unamkumbuka sn kwny issue hiyo tu
😛😛 yes sikatai ila sio kama nasex nae isitoshe yupo mbali sana na mimi.......mimi nina tabia ya ajabu sana hapa nasema hivi coz nipo single ila nikipata mwingine akanijali zaidi yake uwa namsahau wa zamani na ndo nipo ivo......
 
Acha uongo...mbona mi mara kibao tunakumbushia

Mm nlivyokuwa kauzu hata wakat nakutongoza nikijua kuna mtu anakupakua tu huwa naacha mission yangu hapohapo.

Mimi napenda mtu awe honest sio unatangaza kuwa upo single wakat jamaa wanaupakua mzigo tuu
 
Mi namiss ukorofi wake maana ni mkorofi sijapata kuona
Nakumbuka kuna siku usiku tulitoka wote kwenda kwenye function kuna mtu akajua nko mwenyewe akaomba number weeeeee sitakaa nisahau
But I still love him ivyooo na maukorofi yake ila hajawahi kuinua mkono kunidhuru even a single second
 
😛😛 yes sikatai ila sio kama nasex nae isitoshe yupo mbali sana na mimi.......mimi nina tabia ya ajabu sana hapa nasema hivi coz nipo single ila nikipata mwingine akanijali zaidi yake uwa namsahau wa zamani na ndo nipo ivo......
Hamna lolote hapo analowaza mtu ndio linalomtokea...endeleeni tu na ma x
 
Kwa kweli mke niliyeachana naye amenifanya nijute kuoa simpendi hata kusikia jina lake likitajwa sehemu simmiss hata kidogo ni mshenzi asiye na shukrani siwezi kummiss hata kama sitapata mke mwingine siwezi kummiss yeye ni chui aliyejificha kwenye ngozi ya kondoo kwa mda mrefu na alipotimiza lengo lake ndipo akaanza kuonesha makucha yake nikaamua kumpa taraka SIMMISS HATA KIDOGO
 
Mi namiss ukorofi wake maana ni mkorofi sijapata kuona
Nakumbuka kuna siku usiku tulitoka wote kwenda kwenye function kuna mtu akajua nko mwenyewe akaomba number weeeeee sitakaa nisahau
But I still love him ivyooo na maukorofi yake ila hajawahi kuinua mkono kunidhuru even a single second

U still lv him....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom