NACTE imefungua na kufunga utaratibu wa kujisajili vyuo?

mbogyo

JF-Expert Member
Dec 16, 2012
231
100
Habari zenu wana jamii,

Naomba mnisaidie namna ya kufanya application ya vyuo ngazi ya cheti kupitia online pale NACTE maana naona tangazo tu la kwamba mfumo utafunguliwa tarehe 15/05/2017 lakini mpaka leo haifunguki.
 
Mwaka huu application ya NACTE, Itahusu vyuo vya serikali tu na siyo vya binafsi, vya binafsi unaomba moja Kwa moja chuo husika.
 
Back
Top Bottom