Kwanini ku-print ni bei kuliko kutoa kopi?

Kwanini ku-print ni bei kuliko kutoa kopi?

Kuna tofauti kubwa katika function ya kuprint Na copy Na kwa njia rahisi ukitaka Kujua printing inatumia wino mwingi kuliko copy ni pale unapoprint background picture/text ukiprint ni dhahiri background itatokea vzuri lakin ukitoa kopy Haitotoka hiyo background hili watalifahamu wenye uzoefu wa stationary activities, lakini pia printing ufanyaji kazi/steps hupitia sehemu nyingi mpaka kuja kupata hardcopy kuliko photokopy
 
photocopy
print
lamination
binding

ndio nn wakuu mimi sielwagi kabisa
PHOTOCOPYING : ni kitendo cha kutoa nakala yenye kufanana na nakala halisi.
Mfano: unapotoa kitambulisho chako kwaajili ya kusajili line.

PRINTING: ni kitendo cha kuhamisha nakala ya maandishi au picha kutoka kwenye kifaa mfano flash na kuiweka katika mfumo wa nakala halisi ya karatasi.
Mfano. Unapopiga picha ikiwa kwenye camera/simu hiyo inakua ni soft copy, ukifanya printing ndio unapata picha yako halisi ambayo unaweza kuweka hata kwenye album.

LAMINATION: ni kitendo cha kuweka cover juu ya nakala flani.
Mfano kitambulisho au cheti chako unaweza kifanyia lamination ili kidumu zaidi hata kikiingia maji kisilowane au kuchanika.

BINDING; ni kitendo cha kuchukua nakala tofauti tofauti na kuziweza pamoja katika utaratibu mzuri kwaajili ya kusaidia utunzaji wa kumbukumbu kwa urahisi.
Mfano. Unapochukua mitihani yako na kuiweka pamoja katika sehemu maalumu na kuzibana kwa kutumia stepler.
 
Kuna mnaongea vitu msivyovielewa iki mradi muonekane na nyie mmechangia mada. Ki ukweli ni kwamba kuna utofauti mkubwa sana kati ya photocopying na printing katika ulaji wake wa wino yaani printing inakula sana wino kuliko copying na ndo maana unaweza kuta machine ya lasser jet inaouwezo was kumaliza lim tano hadi site kwa copying tu lkn isimalize hata lim NNE kwa printing
 
PHOTOCOPYING : ni kitendo cha kutoa nakala yenye kufanana na nakala halisi.
Mfano: unapotoa kitambulisho chako kwaajili ya kusajili line.

PRINTING: ni kitendo cha kuhamisha nakala ya maandishi au picha kutoka kwenye kifaa mfano flash na kuiweka katika mfumo wa nakala halisi ya karatasi.
Mfano. Unapopiga picha ikiwa kwenye camera/simu hiyo inakua ni soft copy, ukifanya printing ndio unapata picha yako halisi ambayo unaweza kuweka hata kwenye album.

LAMINATION: ni kitendo cha kuweka cover juu ya nakala flani.
Mfano kitambulisho au cheti chako unaweza kifanyia lamination ili kidumu zaidi hata kikiingia maji kisilowane au kuchanika.

BINDING; ni kitendo cha kuchukua nakala tofauti tofauti na kuziweza pamoja katika utaratibu mzuri kwaajili ya kusaidia utunzaji wa kumbukumbu kwa urahisi.
Mfano. Unapochukua mitihani yako na kuiweka pamoja katika sehemu maalumu na kuzibana kwa kutumia stepler.
Hapa nmepata mwanga.. binding ndio kama kutumia pnch mashine kutobolea makaratasi afu unaweka kwenye file??[emoji16][emoji16]
 
Kuna wengine wanakujaga na laptop zao ila bei ya kuprint ni ile ile
Sasa kama unaweza kuja na computer yako ili upunguziwe bei, stationery wameweka za nini na biashara wanafanyaje! Inachosema ni sawa na kwenda na mboga yako cafeteria ili upunguziwe bei ya ugali.
 
Acha kudanganya. Laptop yako iwe na drivers za printa ya kwenye steshenari?
Sisi ofisini kwetu tulishakuwaga na kaprinter kile kina print tu hakitoi kopi. Maajabu yake ilikuwa ukichomeka computer yoyote ile kinaprint. Hakikuwa na makuu sijui driver sijui u-install nini!
Mwisho wa siku kilivyoharibika kuna fundi tukamwachia.
 
Back
Top Bottom