Recent content by mbaumbau

  1. mbaumbau

    JamiiForums Tanzania Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

    Protocol za usafiri wa Rais wa jamhuri haziwez kufanana na za rais wa tff kijana au rais wa manzese!
  2. mbaumbau

    JamiiForums Tanzania Matapeli wakubwa 5 kuwahi kutokea Tanzania

    Tusaidie hao matapeli unaowajua ili na ss tupate kuwajua
  3. mbaumbau

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Kauli ya Marehemu Jumbe Kufitiniwa na Maalim Seif; Mahojiano na Gazeti la Mtanzania 2002

    Chambua utajua mwema yupi na mbaya yupi
  4. mbaumbau

    JamiiForums Tanzania TCU na 3.5 GPA for diploma holders

    Maelezo marefu sana sijamaliza kusoma yote ila inaonesha hujakiz viwango vyao.....haijalish km ni haki au si haki cha muhm ni kuwa badili stategy yako ya kuelekea mafanikio,km strayegy ya elimu imekataa jalb nyngne km bzness ama ajiliwa na hyo diploma yako mtanganyika mwenzangu
  5. mbaumbau

    JamiiForums Tanzania Ngekewa(Capybara): Mnyama pekee apendwae na wanyama wote

    Sababu ya kwanza ni mungu kapenda iwe hivo....nyngne tungoje wasomi waje
  6. mbaumbau

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Successful Galana Irrigation project trials-The end of maize import

    London english au kimakonde umeandika?
  7. mbaumbau

    JamiiForums Tanzania Mahakama kuu Arusha yamvua ubunge Onesmo Ole Nangole (CHADEMA), yaamuru uchaguzi urudiwe

    Mnafiki hana tofaut na mbwa koko......mimi ni ccm na daima nitaamin ktk kushinda sio kushindwa
  8. mbaumbau

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani watoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao

    Umeandika kwa kuchanganya na skili zako au ulipoambiwa uandike ukafanya bila kujua unachoandika.......waulize wamelud kwa maslah ya wananchi au ya kwao wao waliposikia posho hawatapata!!!!!
  9. mbaumbau

    JamiiForums Tanzania Orlando Massacre: US Going Through Its 'Worst Nightmare'

    Sidhani km muuaji alikuwa shoga...nlimskia baba yake bbc akisema kuwa kabla ya kutekeleza maauaji yale mtoto wake jana yake alioona wanaume wawili wakipigana denda na kitendo kile kilimkela sana,hata obama leo ameskika akisema muuaji hakuwa gaidi bali alifanya maauaji yake kwa msimamo wake...
  10. mbaumbau

    JamiiForums Tanzania Kitu gani unachokumbuka ambacho mama yako alikuonya ukiwa mtoto na mpaka leo hukisahau?

    Huu uzi utaliza watu na ninaweza kujikuta mmojawapo......mi mama alinambia nisideke sana maana akifa ctazikwa nae!!!! R.I.P mama
  11. mbaumbau

    JamiiForums Tanzania Kama hukusoma shule hizi kongwe, wewe ni mmoja wa vilaza mliopo hai

    Mi nimesoma tambaza ila kiuhalisia alichoandka ni upuuzi......unaeza pga hzo skul hten ukawa mtu wa dhiki tuuu
  12. mbaumbau

    JamiiForums Tanzania Marekani yasitisha rasmi Ufadhili wake wa MCC kwa Tanzania

    Ni upuuzi mtu kusikitika et kisa mnyonyaji kakata milija yake ya unyonyaj.......pato letu la mwezi linazidi hyo pesa yao
  13. mbaumbau

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete, Hii kampuni ni yako?

    Ok lets assume ni yake,we unatakaje,kumbe kwel maskin humchukia mtu tajili na ndo maana tajili anamdhalau mtu maskin kutokana na fikla za kipuuz km hizo na chuki binafsi
  14. mbaumbau

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amdhalilisha Meya wa UKAWA Manispaa ya Ilala

    Mwanaume unatoka povu kwa ishu zisizo na maana...elekeza muda na nguvu zako ktk kujijenga kimaisha ili uondokane na huo umaskini wa fikra na kipato ulionao
  15. mbaumbau

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilifanya nae mapenzi kinyume na maumbile, je anafaa kuoa?

    Hafai kuolewa na mtu mwenye hekima na busara na ww pia hufai kuoa mtu mwenye hekima,busara na hofu ya mungu hivo oaneni tuu coz wote hamna hofu ya mungu
Back
Top Bottom