Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 5,141
- 15,923
Anawaogopa wanyonge
Hutaki alindwe unamtakia nnAmbulance 2 za nini ?? Msafara mkubwa sana pia ndani V8 unakuta yuko driver tu....back up car ziko 5 za nini zote hizo??
Kazi yenu ni kusifia tu wala hamna jipyaWatu kama nyie ndio mnaishushia hadhi JF. What is this??
Acha mbwembwe kwani tupo Alepo au MogadishuKila kitu kina maana yake hizo gari zinazokuwa na dereva peke yake kuna sababu ya msingi kufanya hivyo gari zinazobeba walinzi au lile linalombeba mheshimiwa lolote linaweza kutokea, gari nyingine zimebeba silaha na mitambo n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkuu, katika hali ya kawaida msafara wa Rais wa Tanzania unaweza kutisha dunia nzima?? Mleta mada amefikiaje hilo hitimisho. Ushahidi wa hilo hitimisho ni upi?? Unless na wewe unaakili kama za mleta mada utaona post yake ipo sahihi.
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
Basi hii ni sawa na kuwa kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe.gari nyingine zimebeba silaha na mitambo n.k
Kila kitu kina maana yake hizo gari zinazokuwa na dereva peke yake kuna sababu ya msingi kufanya hivyo gari zinazobeba walinzi au lile linalombeba mheshimiwa lolote linaweza kutokea, gari nyingine zimebeba silaha na mitambo n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Msafara wa rais ni ofisi inayotembeaKuna kitisho gani cha kuwa na magari mengi hivyo, kama sio matumizi mabaya tu ya madaraka?
Wewe umezaliwa lini?!Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
umesahau mzee hzo ni V8 zle nyeusi tu..bado kuna zile v8 nyeupe,kuna ile gar ndogo nyeupe(benzi),kuna zle land cruiser station wagon,kuna zle ambulance mbili (ile nyeusiii tiii na ile nyeupe)Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.