Recent content by mawindo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Mpishi - aweze kupika vitafunwa na chipsi

    Fanya hivyo chap
  2. M

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Mpishi - aweze kupika vitafunwa na chipsi

    Anahitajika Mishi/Mtaalamu wa kupika Chapati (vitafunwa) na Chipsi. Awe wa kiume. Awe mwenye uzoefu aliyekwisha wahi fanya kazi sehemu za watu wengi. Eneo la kazi ni Mkoani Shinyanga. Kwa mwenye sifa na vigezo afike PM kwangu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mpishi wa kupika chapati (vitafunwa) na chipsi

    Anahitajika MPISHI/mtaalamu wa kupika CHAPATI (vitafunwa) na CHIPS Awe wa kiume Awe mwenye uzoefu aliyekwisha wahi fanya kazi sehemu za watu wengi Eneo la kazi. SHINYANGA Njoo DM very serious
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Alizeti (Sunflower): Masoko, Mbinu na Ushauri toka kwa wadau

    Naomba msaada kwa wataalam waliokwisha kulima na zao la Alizeti. wanapambana vipi na ndege maana naona watamaliza juhudi zote nilizoweka mwaka huu maana wako wengi na wanashambulia mazao kweli kweli.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Alizeti (Sunflower): Masoko, Mbinu na Ushauri toka kwa wadau

    Naomba msaada kwa wataalam waliokwisha kulima na zao la Alizeti wanapambana vipi na ndege, maana naona watamaliza juhudi zote nilizoweka mwaka huu. Wako wengi na wanashambulia mazao kweli kweli.
  6. M

    JamiiForums Tanzania This will be my biggest risk! Kilimo cha alizeti Singida

    Naomba msaada kidogo mm nina mpango wa kulika alizeti ila naskia ndege wanapenda sana hili zao mnawezaje kueafukuza ndege naombeni msaada kwa wenye unusi na hili swala
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    ulifanika kupata mwenza?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mpishi anahitajika

    MAHALI PA KAZI-SHINYANGA CHAKULA MALAZI NA MATIBABU NI JUU YANGU AWE ANAJUA KUANDAA VITAFUNWA MAELEZO ZAIDI NJOO INBOX
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mpishi anahitajika haraka Shinyanga

    ENEO LA KAZI-SHINYANGA CHAKULA MALAZI NA MATIBABU NI JUU YANGU AWE ANAJUA KUANDAA VITAFUNWA KWA MAEKEZO ZAIDI UNAKARIBISHWA INBOX
  10. M

    JamiiForums Tanzania MPISHI ANAHITAJIKA-HARAKA

    MAHALI-SHINYANGA CHAKULA NA MALAZI JUU YANGU AWE ANAJUA KUPIKA NA KUANDAA VITAFUNWA NJOO INBOX KWA MAELEZO ZAIDI
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba baade aje kuwa mke anahitajika

    Mchumba baade aje kuwa mke anahitajika. Sifa zake.. Umri miaka 22--35 Kabila lolote Makazi-Dar es salaam Akiwa mnene itapendeza zaidi Rangi yeyote Elimu kuanzia kidato cha 4 Mrefu au mfupi vyote ni sawa tu Sifa zangu Miaka yangu ni 31 Makazi Dar es salaam Mfanyabiashara Karibuni sana..
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanesco Kigamboni msiwe kama wendawazimu, wiki iliyopita mmeunguza nyumba ya mtu Makondeko kwa ushenzi kama huu!

    Tanesco kigamboni vijibweni soweto siku umeme usipokatika zaidi ya mara tatu wakazi wa huku lazima tuitane tukae kikao leo tanesco wamepatwa na nn??..Kati ya maeneo tanzania nzima KIGAMBONI NDO ENEO LINALOKATIKA UMEME KUTWA HATA MARA 3.4 PAKA 5 BILA HATA TAARIFA YEYOTE...Au wanafunzi wa mafunzo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chelsea selling harzard n transfer ban.....the only manager anayeweza kutuvusha hichi kipindi ni..... papa jose mourihno tu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka kila Wilaya nchini. Ataja changamoto za biashara kwa Serikali na Wafanyabiashara

    Kama hawajajiandaaa kabisaaaaaa....kila mfanyabiashara anashukuru tu...akitoka hapo anaanza lalamika...yaaani ukiwasikiiza unataman kizima t.v
Back
Top Bottom