Ingekuwa Dar, na kama ungekuwa jinsia pendwa ningekuunganisha na mjukuu wangu joanah akukarangazie mahanjumati ule ushibe mpaka watu wahisi una ujauzito wa kwamza.MAHALI-SHINYANGA
CHAKULA NA MALAZI JUU YANGU
AWE ANAJUA KUPIKA NA KUANDAA VITAFUNWA
NJOO INBOX KWA MAELEZO ZAIDI
😂😂😂😂 we mzee utaniua kwa kicheko!!Ingekuwa Dar, na kama ungekuwa jinsia pendwa ningekuunganisha na mjukuu wangu joanah akukarangazie mahanjumati ule ushibe mpaka watu wahisi una ujauzito wa kwamza.
Asante sana dia babuNakupigia pande my dear joanah