Tanesco Kigamboni msiwe kama wendawazimu, wiki iliyopita mmeunguza nyumba ya mtu Makondeko kwa ushenzi kama huu!

Tumechukua hatua kadhaa kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme maeneo mengi ya Kigamboni,pia yapo maeneo ambayo miradi ya uboreshaji wa voltage unaendelea.je wewe upo eneo gani na namba yako ya simu tafadhali
Mimi nipo Kibada karibu na Shangwe Hardware, shughulikia kero ulete feedback ya utatuzi hapa achana na namba za simu.
 
Tanesco kigamboni vijibweni soweto siku umeme usipokatika zaidi ya mara tatu wakazi wa huku lazima tuitane tukae kikao leo tanesco wamepatwa na nn??..Kati ya maeneo tanzania nzima KIGAMBONI NDO ENEO LINALOKATIKA UMEME KUTWA HATA MARA 3.4 PAKA 5 BILA HATA TAARIFA YEYOTE...Au wanafunzi wa mafunzo kwa vitendo ndo line mnayowafundishia?..KATA HIVI WASHA HIVI...TANESCO KIGAMBONI NI KIZUNGUZUNGUUU
 
Wekeni utaratibu wa SMS notifications kwenda kwenye simu za wateja wenu pale mnapotarajia kukata umeme mara kwa mara ili wateja wenu wachukue tahadhari.
Pamoja na haya nashauri ninyi TANESCO pia muandae MKATABA WA HUDUMA kwa mteja utakaowafanya kuwa responsible zaidi kajifunzeni kwenye mamlaka na mashirika mengine ya serikali k.v tcra
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu
 
Tanesco kama mgao wa umeme upo muwege mnatoa taarifa basi.... mnakata umeme kuanzi asubuhi hadi jioni bila taarifa yoyote na kwa siku nyingi mfululizo..... YANI MNAJIAMULIA TU KANA KWAMBA HAMJUI MNAKWAMISHA KAZI ZA WATU KIZEMBEZEMBE NA KUHARIBU MALI ZA WATU.
Haya, mkikata umeme rudisheni kistaarabu basi, yani jitu linakaa kwenye switch linawasha paaap, linazima.... linawasha tena paap, linazima,.... VITU AMBAVYO HATA MTOTO MDOGO HAFANYI TANESCO WATENDAJI WENU WANAFANYA.
 
Wilaya

Eneo

Namba ya simu tafadhali
 
Wekeni utaratibu wa SMS notifications kwenda kwenye simu za wateja wenu pale mnapotarajia kukata umeme mara kwa mara ili wateja wenu wachukue tahadhari.
Pamoja na haya nashauri ninyi TANESCO pia muandae MKATABA WA HUDUMA kwa mteja utakaowafanya kuwa responsible zaidi kajifunzeni kwenye mamlaka na mashirika mengine ya serikali k.v tcra
Hawa watu wanakera sana... Mimi kwa miaka ipatayo 10 sasa nawalipa kwa wakati mwezi mzima na nina akiba ya "units" zinazoniwezesha kukaa miezi mitatu bila kununua umeme, lakini kwa wastani siku kumi katika mwezi sipati huduma yao kwa sababu ya hii tabia ya "Kata Zima".. Nadhani TANESCO wameajiri watoto wanaogeuza "switch" kama kidali po!.
 
Inabidi waweke Mkataba wa Huduma kwa Mteja kama walivyofanya TCRA na mashirika mengine...ili wakiharibu tu mkataba uwabane hata kulipa fidia ikiwa wamesababisha hasara anyhow!

TANESCO ina mkataba wa huduma kwa wateja toka mwaka 2009 tafadhali pitia tovuto yetu kuuona
 
Back
Top Bottom